Msaada, vyeti vyangu vinatofautiana majina, nitapata mkopo?

Watakuja.

Binafsi nakushauri kwakuwa unao muda wa kutosha mpaka hiyo mwaka kesho, fanya ubadilishe hilo jina la cheti cha kuzaliwa liendane na hayo majina ya vyeti vya shule.

Fika ofisi za RITA watakupa ufafanuzi wa jinsi ya kubadilisha hilo jina, sawa?
 
Kunatofauti ya herufi 2 katika cheti cha kuzaliwa na majina ya shureni je nifanyeje na mwakani nataka kuomba mkopo haitakua tatizo
Inategemea sahihi ni lipi?
La chuo au cheti cha kuzaliwa?

Wanasheria pia wanayo nafasii ya kutambulisha vyeti/vitambulisho vyako kulingana na tatizo la msingi.

Unaweza kupata ushauri upande huo kulingana na tatizo.
 
Achana na kiapo utakuja kulia kuna system azitambui viapo hapo ushauri ninaokupa Bado unamdah hapo unapaswa utengeneze chet Cha kuzaliwa kiendane na chet chako cha elimu hata kama jina sahii ni la upande wa cheti Cha kuzaliwa itabidi libadilike liendane na Cheti Cha elimu
 
Chukua huu ushauri
 
Je nianzie wap katika mchakato wa kubadilisha cheti cha kuzaliwa
 
Nenda ofisi ya vizazi na vifo ya wilaya unayoishi kuondoa ugumu wa jambo lako itapendeza kama utaenda na nakala ya living certificate . Usiwaambie umeshawai kuwa na cheti Cha kuzaliwa Hila kimekosewa majina waambie ndo unaanza mchakato na akikisha hiyo living certificate Ina majina sawa na cheti chako Cha elimu usifanye Tena makosa jitaidi kuongeza umakini na kuuliza Kila hatua unayoona inakutatiza mapema kabla ujafanya maamuzi. NB kama auna living jitaidi kutafuta cheti chochote ambacho kitakutambulisha wewe yaani majina yako na miaka yako ya kuzaliwa mana Huwa awasikilizagi mdomo tupu. affidavit muhimu kuwepesisha jambo lako
 
Achana na kiapo utakuja kulia kuna system azitambui viapo hapo ushauri ninaokupa Bado unamdah hapo unapaswa utengeneze chet Cha kuzaliwa kiendane na chet chako cha elimu hata kama jina sahii ni la upande wa cheti Cha kuzaliwa itabidi libadilike liendane na Cheti Cha elimu
Huu ndo ushauri wa kufata. Nilikuwa na case kama yake enzi niko mwanafunzi. Majina ya vyeti vya academics na ya kuzaliwa hayafanani.

Nilinyimwa mkopo, na baada ya kwenda kulalamika walisema nitafute affidavity. Affidavity Ilipatikana. Ila kwa mifumo yao na presha ambayo bodi iko nayo kwa maombi kuwa mengi kuliko uwezo wake. Cases kama hizi hawatumii muda kuzifanyia kazi. Na ni sababu tu ya kukuengua kwenye mchakato na kumpa alie na documents zilizo nyooka.
 
Yaa ni kwel ndugu uzuri kijana anamda wa kitafuta cheti kingine
 
Achana na kiapo utakuja kulia kuna system azitambui viapo hapo ushauri ninaokupa Bado unamdah hapo unapaswa utengeneze chet Cha kuzaliwa kiendane na chet chako cha elimu hata kama jina sahii ni la upande wa cheti Cha kuzaliwa itabidi libadilike liendane na Cheti Cha elimu
system gani haikubali kiapo serikalini mkuu??

mdgo angu anatofauti ya majina , nime mtafutia affidavity nimeatach pamoja na guarantor attachment mkopo kapata.

kifupi kiapo cha mahakama/mwanasheria kinakubaliwa popote serikalini.

naongea kama public servant
 
Mhh ndugu ujanielewa affidavity zipo kisheria kabisa Hila nchi yetu urasimu mwingi hivi vitu ndo watu wanavitumia kuwakata watu kwenye ulaji nimeshuhudia sahili nyingi za majeshi hivyo vitu vidogo kama hivyo ndo wanakomalia hatari hili wakutoe kwenye system wapachike ndugu zao , ndo mana Mimi nimemshauri tu mda anao asije akaja pata shida baadae ni vema akatengeneza kingine binadamu tunatofautiana roho mbaya .
bahati ya mdogo wako asiitembelee yeye ataingia kutafuta maisha taasisi nyingine watamkataa atoamini macho yake
 
sahihi hasa uliposema urasimu. ila nje na hapo affidavity / deedpoll zote zinakubalika chief
 
Back
Top Bottom