Msaada / ushauri :malaya,vibuti nimechoka

bodachogo

Member
Apr 14, 2011
89
8
Tatizo la kujichua ni mwaka wa tatu sasa nimeshindwa kuacha,nimejaribu kwa kipindi kirefu lakini nimeshindwa,kufanya ngono na prostitutes imekuwa kawaida,maisha yangu yamekuwa ya upweke sana pamoja na bidii kubwa ya kutongoza kwa maneno na vitendo wengi wameishia kunifanya kuwa rafiki tu, kutoswa na mademu kama nimechanjiwa hivi.I am so lonely,sina wa kunisapot au kuniliwaza,pamoja na kuwa na uwezo kidogo,simuhitaji mtu wa kuwa na mimi kwa sabab ya uwezo wangu, Elimu nina degree ya computer science na nimejiajili hapa Mbeya. Tatizo langu kwa hawa akina dada sielewi ni nini,kiukweli sura na umbo vinaridhisha.Ni miaka mitatu sasa kila napogusa ni kibuti. Nimekata tamaa na habari ya mapenzi,nahisi ni kitu ambacho haki-exist,sijui nina mkosi gani. Nafeel insecure hata kuapproach,huzuni hii ya kuwa lonely inanifanya nionekane five years plus my actual age. Wasichana zaidi ya 12 wote nimekula vya mbavu nahisi kama nimerogwa au cjui kwa sabab sidanganyi.,from decent girls mpaka micharuko. Hali hii ya kuwa lonely na nyeto ilinathiri kisaikolojia kiasi kwamba kimasomo ckuweza kuperform kwa uwezo nilionao,
Wasichana nilio-approach wengi waliniambia they are nt ready to date,after few days nawakuta wana-date na watu ambao kwa mtazamo wa nje wa haraka haraka ni inferior to me (sina lengo la kumshusha mtu ,ni mtazamo tu unaoongozwa na hisia za kibinaadamu)
Naombeni ushauri:-
Nifanyeje na mimi nionje ladha ya kupendwa hata mara moja halafu nitendwe nisitamani kupenda tenaaaa,
Nsingependa kurudi kwa prostitutes kwani ni maisha ambayo yananifanya nijihisi hatia daily.
Natamani niache kujichua ,nimechoka na hali hii
Msaada wa haraka ndugu zangu
 
duh! naona umrudie tu muumba wako mana yy ndio anaweza kukupa msaada wa fasta zaidi
 
aibu....kazi kweli kweli. sasa kaka wwe naona itabidi uendelee na kujichua tuu...na kuhusu malaya dnt fel guilty...tena malaya ni safer kiuchakachua kuliko relationship gf.
 
Wako yupo njiani, siku utakapokutana nae utakuja shangaa mwenyewe itakavokua rahisi kama kumsukuma mlevi.
 
aibu....kazi kweli kweli. sasa kaka wwe naona itabidi uendelee na kujichua tuu...na kuhusu malaya dnt fel guilty...tena malaya ni safer kiuchakachua kuliko relationship gf.

Please... At least try to be human, help him be as PERFECT as you are.
 
Wako yupo njiani, siku utakapokutana nae utakuja shangaa mwenyewe itakavokua rahisi kama kumsukuma mlevi.
ah haaa haaaaa haaaa anakua anatemebea ka ana kibihongo huku mkono wa kulia kakunja vidole mana vinakua vishazoea kaa hivyo
 
thanx for your consideration lakini mkuu just write everything here kwa sababu nawakilisha maumivu ya wengi wanaoumia mioyoni tu bila kupaza sauti zao.
Ningependa kupata ushauri wa wazi kabisa.
 
Ushauri wangu ni huu. Tulia, fanya mambo zako kiustaarabu, usiwapapatikie wasichana, Mpe Mungu maisha yako. Kama wewe ni Mkiristo jiunge na vikundi vya kanisa kama kwaya na jumuiya, kama ni Muislamu hali kadhalika shiriki shughuli za dini. Baada ya muda mfupi utanipa matokeo. Mungu akutangulie.
 
Cha kufanya ni ww kuacha kwanza hiyo tabia ya kujichua,then waone wanasaikologia wakusaidie uwe sawa kisaikologia,then mwombe mungu akukutanishe na aliye wako wa maisha na utafurahia mapnz!
 
Kwahiyo mpenzi wako wa dhati mpaka sasa ni mkono wako mkuu?
Umeshakuwa addicted miaka mitatu siyo mchezo!
 
Back
Top Bottom