Msaada:ubuntu 12.04 au 12.10

mtzedi

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
5,611
5,624
Naomba mwenye link aniwekee hapa nahitaji ku download ubuntu 12.04 au 12.10
 
mkuu naomba ya mac book air ambayo niliyokua natumia ilikua mac os x 10.5 dvd yangu original imegoma niwekee link direct please

hiyo link ya mara ya kwanza wanasema kuwa unaweza hata ukai-instal hiyo utakayoidownload kwenye mac, sio windows peke yake. Ila sijawahi kuinstall ubuntu kwenye macbook air ila nahisi utapata msaada zaidi kwenye hii link hapa chini...
Pia naona macbook air zinatofautiana so utaangalia version ipi ya ubuntu itakuwa suitable na macbook air yako.

https://help.ubuntu.com/community/MacBookAir

sorry, natumia simu na inakataa kuweka link. So, i-copy hiyo hapo juu na u-paste kwenye browser yako. Then open hiyo 2nd link "MacBookAir-Community Ubuntu Documentation"
**sorry kwa usumbufu!**
 
Back
Top Bottom