Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,136
- 3,894
Mtoto wa mwisho ana miaka mingapi?Kuleta hapo mwanaume hawezi.. Na hata wakati ule siyo kwamba alikuwa analeta hapo hapana! Watoto pia ni wakubwa.. Mtoto wa kwanza ambaye amemaliza chuo mwaka jana yupo hapo na ni kijana mkubwa wa miaka 25. Hawezi kuleta mwanaume hapo nyumbani...