Msaada tutani; Nina hali ngumu sana, nisaidieni kazi niweze kujikwamua

Kama kuna mtu umewahi kuishi na mwanamke na maisha yako yakayumba, mwanamke akawa jeuri kwako na nidhamu yake ikashuka, hakuna kitu mwanaume unakifeel zaidi ya kumpasua kama sio kuua.

Its better uondoke huku ukijua una security ya mali hizo kuliko kuendelea kuishi nae.
Nashangaa hawa watoto wanabwata nini wakati humu huwa mnawashauri wakanze maisha upya,nyie ni ndumila kuwili
 
Kama kuna mtu umewahi kuishi na mwanamke na maisha yako yakayumba, mwanamke akawa jeuri kwako na nidhamu yake ikashuka, hakuna kitu mwanaume unakifeel zaidi ya kumpasua kama sio kuua.

Its better uondoke huku ukijua una security ya mali hizo kuliko kuendelea kuishi nae.
Unaona mbali sana mkuu..! Lkn mbali na hilo hata ww anaweza kukuua kwa urahisi sana!
 
Kwa hiyo wewe unaweza kimbia nyumba uliyoijenga wewe alafu mwanaume mwingine aingie na akupigie mkeo kwenye kitanda chako ?
Kuleta hapo mwanaume hawezi.. Na hata wakati ule siyo kwamba alikuwa analeta hapo hapana! Watoto pia ni wakubwa.. Mtoto wa kwanza ambaye amemaliza chuo mwaka jana yupo hapo na ni kijana mkubwa wa miaka 25. Hawezi kuleta mwanaume hapo nyumbani...
 
Inabidi utandikwe makofi ya kelbu kwanza Akili ikukae sawasawa.

Tulishasema Mwanamke msaliti na mchepukaji hasamehewi.

Tatizo mnakuwa na huruma za kijinga jinga.

By the way, Watoto siku zote lazima wawe upande wa mama, Hata mama awe mbaya na muovu kiasi gani watoto lazima wamtetee.

Fukuza huyo Mwanamke...
 
Wewe ni karibia ningekuita baba lakini najikuta nakudharau kwa mambo fulani.

Unampaje mwanamke hela zote au nyingi akutunzie?

Uliporudi nyumbani ukakuta mabadiliko ya kipumbavu uliyavumiliaje badala ya kuchukua hatua nzitonzito?

Ulipokimbia nyumbani wakati huohuo mke wako mliyeishi miaka mingi kakupotezea hela nyingi na kaanzisha mahusiano na kijana ulikuwa na maana gani?

Unataka tukuonee huruma wakati unatia hasira kulikoni?

Yani wewe mzee hata ukiwaeleza watoto wako wanaokupendahali halisi watapandwa na hasira na kujiuliza huyu ni baba gani?

Yani unakomaa huko kwenye kazi za kuajiriwa unamtumia mama mshahara wote alafu urudi nyumbani ukute mauzauza tena anagawa nje alafu badala utumie mamlaka yako unaamua kukimbia nyumbani, serious tena anaenda kutafuta mwanamke mwingine uishi nae?

Pumbav
Mkuu Unaamini uwepo wa nguvu za giza ??
 
Nadhani hata wewe mwenyewe huelewi ulichoandika.. Umewafikiria watoto wangu 3 ambao walikuwa bado wadogo na wapo shule!? Unadhani ningemfukuza mama yao angeondoka tu na kuridhika kufukuzwa kwake!? Niliangalia sana maisha ya wanangu.. Mwanamke hata akiwa Malaya lkn atajali kuhusu watoto wake.

Nilimuacha hapo ili kuweka utulivu wa wanangu.. Na wanaendelea vyema! Lkn nashukuru kwa maoni yako.
nisingeondoka kwangu nimuache mwanamke malaya aishi kwenye nyumba yangu hiyo haipo.... angesepa yeye hafu wanangu ningewatunza kwa namna yoyote ile hv unaachaje nyumba yako aitawale mwanamme mwngne watoto wako wanajifunza nn kwa huyo mwanamme mpya hapo home umekosea rudi home fukuza hiyo mbwaa toa option mtoto anayetaka asepe na mama ake... oa tena unakimbia nyumba!!!? hii inshu ipo sana kwa wasukuma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bro, sijui uncle. Maana roughly umezaliwa miaka ya 70.
Hakuna huruma kwa mwanamke msaliti. Mimi nna roho mbaya sana, kwenye jambo kama hilo acha tu watoto wateseke, siwezi kukimbia nyumba yangu niliyoijenga kwa pesa yangu, NEVER.
Hao watoto wangekaa hapo hapo na dada wa kazi, mwanamke ningefukuza.
Rudi home kafukuze huyo mwanamke.
arudi home akafukuze hiyo mbwa eti anasema watoto wapate utuluvu , utulivu upi...huyu jamaaa anatania

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimepata maoni mengi ambayo na mm km binadamu nitaendelea kuyachakata ili kupata suluhisho..! Lkn me kwa sasa tatizo langu ni kutibu njaa.. Mwenye kibarua chochote aniambie nije kupiga kazi nipate kuishi...!
 
Una tatizo la kushindwa kujitunzia pesa zako mwenyewe? Bank, Mpesa , tigo pesa etc?

Siku nyingine usirudie makosa haya ya wazi Kabisa. Mwanaume ni kiongozi, yeye ndio anajua anaingiza shingapi na atoe shingapi apeleke wapi au itumike vipi.

Pole.
Mimi ni mwanamke lakini siwezi kumpa hela mtu yoyote anitunzie. Hizi tabia za kuamini watu inabidi watu waachane nazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom