Msaada: Turbo C Compiler Software (C programming)

nimeattach file..please extract hilo folder...ukitaka kuirun ingia kwenye TC/BIN/TC(application)...runhiyo TC application kitu kitafanya kazi...hunahaja ya kuinstall..unachotakiwa ni kuweka hilo folder kwenye local disk C: basi.. nimekuwa nikitumia hii kitu kwa window7.sina uhakika kama inafanya kazi vizuri kwenye XP ila natumai itapiga mzigo..wewe jaribu tu incase unatumia XP...
Kama ikikupa shida nitafute.....
Asante, file ulioattach nimedownload, extract na kuliweka kwenye drive c. But nilipofungua folder mafaili karibu yote ni yale yasiyofunguka. Inaonekana ni kama haikubali kwenye win xp sp3 ambayo ndiyo ninayotumia.

Hata hivyo kuna nondo za kutosha walizoniwekea wasamaria wengine hapo juu ambazo nazidownload na kuzihifadhi kwanza kabla sijaanza kuzifanyia kazi moja baada nyingine. Hivyo kama unayo nyingine ni ambayo ni compatible with win xp si vibaya ukiiweka pia tuiangalie na yenyewe ufanisi wake kwani tunajifunza mengi. Otherwise usihangaike sana.

Asante kwa moyo wa kusaidia.
 
kaka kwa ufahamu wangu ni kwamba hiyo program yako inaweza kuwa compiled hata na turbo c++....mimi ninayo turbo c++ kama utahitaji niPM...
still in old age?
#include <conio.h>
hahaaaa! Throw that turbo c++ unto trash bin. Universities are useless in teaching garbages sometimes!
 
Back
Top Bottom