tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
piga hge ufumue wani haraka,kama una uwezo wa kuandika bukuleti 2 kwenye historia.
Mambo yangekuwa rahisi kma unavyodhani...maisha yangekuwa marahisi sana
piga hge ufumue wani haraka,kama una uwezo wa kuandika bukuleti 2 kwenye historia.
mtu aliyesoma egm ana advantage ya kusoma programs kama IT,statistics,actuarial sciance,geology, computer sciance,building economics,arctecture engineering,surveying nk.binafc nlisoma Hge na nlikua na ndogo ya kusoma geology chuo kikuu bt mwisho wa cku nkajikuta nasoma bcom ambayo kwa sasa ishakua yeboyebo,so dogo ushauri wangu kwako,ni kama una kichwa cha kupambana na pure mathematics huko advance kasome Egm ili ukimalza uwe na machaguo mengi ya kusoma..kuhusu hge,nayo ni kombi nzuri bt ukifka chuo kikuu kuna programs ambazo hautaweza kudahiliwa kuzsoma hata ka una dv 1.3,ila ka shida yako we ni kupata dv 1 yenye points kali bac komaa na hge ndo rahc kutoka.
kwa hiyo EGM pamoja na kupigika na Math's at the end of the day unakutana na aliyepiga HGE. Ina maana hakuna kitu atachoapply wa EGM na HGE akashindwa kuapply?
mtu aliyesoma egm ana advantage ya kusoma programs kama it,statistics,actuarial sciance,geology, computer sciance,building economics,arctecture engineering,surveying nk.binafc nlisoma hge na nlikua na ndogo ya kusoma geology chuo kikuu bt mwisho wa cku nkajikuta nasoma bcom ambayo kwa sasa ishakua yeboyebo,so dogo ushauri wangu kwako,ni kama una kichwa cha kupambana na pure mathematics huko advance kasome egm ili ukimalza uwe na machaguo mengi ya kusoma..kuhusu hge,nayo ni kombi nzuri bt ukifka chuo kikuu kuna programs ambazo hautaweza kudahiliwa kuzsoma hata ka una dv 1.3,ila ka shida yako we ni kupata dv 1 yenye points kali bac komaa na hge ndo rahc kutoka.
nilisoma EGM na na sasa mimi ni architect, HGE huwezi kusoma architecture, EGM unaweza kusoma baadhi ya course za sayansi.
Nakumbuka wakati nasoma Tution kwa MAKO pale Magomeni alikuwa anatuambia PCM unasoma hata LAWSoma PCM unaweza soma Kozi yeyote hapa Tanzania
Soma PCM unaweza soma Kozi yeyote hapa Tanzania
Wabeba maboksi hatuna letu hapa.
kwa hiyo EGM pamoja na kupigika na Math's at the end of the day unakutana na aliyepiga HGE. Ina maana hakuna kitu atachoapply wa EGM na HGE akashindwa kuapply?
Iyo kauli yako niliiona nilivyokuwa o-level nikakaza msuli mwishoni nikapasuaEGM pia anasoma Bsc Math.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Acha kumpotosha bwana mdogo wewe....hivi kama hamjui mambo c bora muwe mnakaa kimya...kwa hiyo wewe kwa akili zako kila course anayoapply na anayoweza kusoma mtu wa E.G.M na mtu wa H.G.E anaweza etii??ndio maana yake. Bora usome HGE. History ya Advance ni kama ya o'level tu.
Wewe hao wenzio wanakupotosha...kuna course nyingi tu anazoweza soma E.G.M na mtu wa H.G.E hawezikwa hiyo EGM pamoja na kupigika na Math's at the end of the day unakutana na aliyepiga HGE. Ina maana hakuna kitu atachoapply wa EGM na HGE akashindwa kuapply?
Wewe nae sijui umetokea wapi...tangu lini PCM anaweza soma course yoyote...hujui kuna course ili usome lazima uwe umesoma PCBSoma PCM unaweza soma Kozi yeyote hapa Tanzania
Ubarikiwe, kazana zaidi kama bado unasoma ili usije kuwa chakula ya wasomi.Iyo kauli yako niliiona nilivyokuwa o-level nikakaza msuli mwishoni nikapasua