Msaada tafadhali

jamaajamii

Member
Apr 19, 2015
70
6
Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi yatumwe:jamaajamii@gmail.com
 
Hii njia ya kutuma maombi si nzuri sana kwenye ishu za mahusiano kama vile mtu anaomba kazi aisee....athari zake ni kwamba ukimpata wa kumpata mnaweza kutumiana maombi hata kwenye mambo ya faragha
 
Maelezo yko bdo hayana nyama za kutosha. kwnz lazma ujue sifa za mtu anaefaa kuwa mume. unamtaka mcha mungu ww umeokoka?
Kuokoka na kumcha Mungu ni vitu viliwi Tofauti.Mtu anayemcha Mungu anawefanya mapenzi nje ya ndoa.Lakini mlokole hawezi.Kwa ombi langu hilo siwezi kuwa mlokole.
 
Hii njia ya kutuma maombi si nzuri sana kwenye ishu za mahusiano kama vile mtu anaomba kazi aisee....athari zake ni kwamba ukimpata wa kumpata mnaweza kutumiana maombi hata kwenye mambo ya faragha
Hapana wewe ukinikubali tunatumiana namba za simu na kupanga kuonana.
 
Mshana jr.Hilo ni ombi lipokee kama una sifa au likatae.Hakuna haja ya kunikosoa.
jamaajamii mimi ni mwanaume kamili kwahiyo siwezi kutuma maombi, hii post yako umeweka hapa upenuni kwahiyo yeyote anaweza kutoa maoni yake ambayo mengine yatakuwa na msaada mkubwa kwako
 
Last edited by a moderator:
Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi yatumwe:jamaajamii@gmail.com

maombi yaambatanishwe na cv??? Vyeti viwe certisfied???
 
Deadline ya maombi lini?

Eve,unaweza kuwa ni wewe Mungu apewe sifa maana mke mwema hutoka kwake Bwana.Naona sifa angalau ya kwanza,wewe ni mkristu.Miezi miwili nadhani nitakuwa nimepata wachumba na kuchagua mmoja na huo ndo utakuwa mwisho.
 
Eeeeh! Majanga! Unamtaka hadi mshana! YIESU!

Yeye anaona issue yangu inahusu wachumba au wasichana,halafu anachangia ya nini?Hili ni ombi kwa wasichana tena wakikristu tu.Pia halimuhusu alozodi miaka 35.Ni vema kuangalia vigezo na masharti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom