Msaada tafadhali

Eve,unaweza kuwa ni wewe Mungu apewe sifa maana mke mwema hutoka kwake Bwana.Naona sifa angalau ya kwanza,wewe ni mkristu.Miezi miwili nadhani nitakuwa nimepata wachumba na kuchagua mmoja na huo ndo utakuwa mwisho.
Okay mchumba naomba nije hata kwenye intavyuu
 
Nimecheka sana huyu jamaa alivyoanza kuparamia wanaume wenzie hahahaahaa.. eti nitumie namba ya simu tuyazungumze hahaha
 
Mwenzenu nashukuru sana wanajf nimefalijika sana nimepata msaada nilohitaji kumbe hakuna haja ya msenga au dalali.Sitamwacha huyu binti niko naye tayari.Jf oyeeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom