Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
nenda maeneo ya Kisongo kule ngariba anaendelea na shuguli
Baba,hapa inakuwaje?
Achana na mambo ya kizaman bwana!
Mpeleke mdogo wangu hospitalin,kwann maumivu uliyopata ww na mtoto aonje?
Kuwa na huruma baba!!
Sikubalianai na ww hapo baba,leo itabidi unisamehe tu!Mwanangu najua kadogo kako katapata maumivu, lakini unajua athari za kutahiri Hospitalini katakuwa legelege, nataka kakomae na kajue nini maana ya uanaume...............!
Sikubalianai na ww hapo baba,leo itabidi unisamehe tu!
Unauhakika gani maumivu hayo ataendelea kuyakumbuka na hata kutokuwa legelege?
Baba maumivu amabyo hataweza kuyavumilia na ataishia kulia au hata kupata homa yanahusiana vp na ukomavu?
Kwa umri wake amabo hata haelewi maana ya ukomavu au ulegelege maumivu hayo yatamsaidiaje?
Acha ukalitili baba.
Nadumisha mila bana....................Mbona mie nilitahiriwa kavu kavu na si kufa!?
Huo ndio uanaume................
Hahahahaha hapana Mkuu, yule nesi alikuwa ananichezea sana na maneno yake matamu,akawa ananiambia nikiwa mkubwa nitamuoa yeye kwasababu alikuwa hajaolewa,kwahiyo sharti alilonipa ni kwamba nicheke na wala nisilie,nikilia tu basi hatokubali kuolewa nami. Nalog offNIna wasiwasi ulipigwa nusu kaputi..........................
Baba,hapa inakuwaje?
Achana na mambo ya kizaman bwana!
Mpeleke mdogo wangu hospitalin,kwann maumivu uliyopata ww na mtoto aonje?
Kuwa na huruma baba!!
Mdogo wake Ngina anatimiza miaka 4 tarehe 9 Decemba, kwa kuwa tarehe hiyo nchi yetu inatimiza miaka 50 tangu ipate uhuru, nimeazimia nimtahiri mwanangu kwa kufuata mila na desturi za kiafrika. Natafuta Kibabu ambacho kina taaluma ya ungariba ili kimtahiri mwanangu kavu kavu, ili kawe kama mimi baba yake.
Mwenye kumfahamu Ngariba yeyote hapa jijini Dar, basi anijuze kwa kunipa namba yake ya simu.
Huo mvule bado haujakua kiasi cha kutosha, mwache afikiche japo miaka sita.
Afu ngariba wa wakurya hapana, itakuwa kama mhogo, kidogo hapa huwa utata, wamasai sijui.
Nenda hospitali ila wasimvike ring wafanye kizamani na kushona, vinginevyo heshima itashuka.
Bado natafakari, lakini ningefarijika sana iwapo mwanangu kidume angetahiriwa na ngariba tena kwa kisu,.................Nyie hamjui tu, ule ndio uanaume bana......................
Mwache mtoto atatahiri mwenyewe akikua mbona mimi nilitahiri na miaka 35 tena nilisindikizwa na mke wangu!