Msaada sina mawasiliano na outside world

Shedafa

JF-Expert Member
May 21, 2008
802
173
Wandugu toka asubuhi ya leo nimeshindwa kufungua site yoyote ya kidunia, ikiwa ni pamoja na social networks zote. Nimejaribu kufungua site za wizara, serekali na hata voda na tigo zinafunguka bila tatizo. Ila hakuna yahoo, jamiiforums wala michuzi. Naomba msaada tatizo litakuwa nini!.
 
Unatumia Sim au PC!?
 
Nilikuwa na maana ys pc yangu, hii nimeandika lkwa simu. Msaadaaaa!.
 
Nina furaha kuutaarifu umma kuwa nimetoka kifungoni, sasa napata mawasiliano na dunia na hata hii msg ya sasa nimeiandika kwa kutumia pc yangu.
 
Back
Top Bottom