Msaada: simu yangu kila nikiweka memory card haisomi!

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,743
4,227
Wakuu naombeni msaada wa ushauri...natumia HTC Desire...nimejaribu kuweka memory card 4 mpaka sasa zote zinakataa kusoma.
Tatizo ni nini?
 
I think iko sawa, kuna memory card ya zamani natumia iko sawa, ila nikibadili nyingine haitaki kusoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom