Kabelwa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 656
- 166
Habari ndugu,
Naomba msaada nina wiki mbili laini yangu ya ttcl haisomi data pamoja ya kuweka data roaming lakini bado ila kwa wengine inasoma tatizo ni nini! nikiwapigia huduma kwa wateja wananiambia niangalie kwenye setting na hiyo sett iko sawa sasa naomba msaada.