Msaada:simu yangu inashindwa kudownload game ya REAL FOOTBALL 2011

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
Wadau, me natumia simu ya Nokia 2730 classic, napenda sana game ya REAL FOOTBALL, mwaka 201
0 nilidownload hii game version ya 2009 ikakubali na nikawa nacheza kama kawaida, mwaka 2010 huo huo nikadownload version ya 2010 ikakubali,.sasa nikitaka kudownload hii game version ya 2011 inadownload inafika sehem inasema "file too large to be saved" wkt kabla sijadownload inaonesha size ni ya kawaida tu, naombeni msaada
nikadownload hii game version ya 2010
 
Back
Top Bottom