Msaada: Simu yangu haitumii phone data kwenye WhatsApp

kindikwili

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
1,862
2,872
Wakuu amani iwe nanyi!
Simu yangu imekuwa haifungui whatsap nikiweka data on , lakini nikiwasha WIFI halafu nika connect na simu ya jirani whatsap inafanya kazi. Nimejaribu kufuta vitu vingi nilivyovidownload lakini bado, nime uninstall whatsap messenger lakini inanipa message hii
''Unable to connect. Please check that you are connect to the internet and try again. Please reboot your phone if your connection problems persists". Hapo data iko on na vitu vingine natumia kawaida. Hii simu ni tecno w5, kwa mwenye ufahamu na msaada naomba kukwamuliwa.

shukrani sana!
 
Mtandao unaotumia hapo ulipo upo chini..hiyo simu nyingine inayokupa wifi itakuwa na mtandao mwingine..so badili mtandao sawa na huo unaokupa wifi
 
Ingia kwenye Hi Manager ndipo tatzo lako linapoanzia kwani hata ukirestore itakupotezea muda
 
Hata usingetaja jina ningekwambia ni tecno tena familia ya W ndo zilivyo... Hapo hata ukirestore bado, nenda tecno watakusaidia.

AU TUMIA MODS ZINGINE KAMA GBWHATSAPP
 
Back
Top Bottom