Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

Kwanza nikupe pole hizo zilinitesa mno hadi nikachukia simu na zilikula sana bundle
Kifupi hizo ni virus ambazo ziliingia kutoka na labda kupakua kitu chochote hasa wanavyoshare watu kwenye magroup

Pakua Ant virus kutoka play store Kila kitu kitakuwa solved hiyo AVG antivirus itamaliza tatizo
Screenshot_20231105-160525.jpg
 
Unaigusa ile notification inaleta source
Afu ndo unazuia notification from that source

Anyway unatumia sim gani mkuu..!?
 
Samsung no
Te 20
Lazma iwe mchina tu aidha Infinix ama ndugu zake wa damu Tecno na Itel.

Simu OG hazinaga matangazo ya kijinga. Natumia Sony Xperia series sijawahi ona Tangazo la kipumbavu kwenye Notification BAR toka nimeanza kutumia hii simu. Badili simu huna namna na ukibadili usinunue Tecno ama Infinix tena.
 
Kwanza nikupe pole hizo zilinitesa mno hadi nikachukia simu na zilikula sana bundle
Kifupi hizo ni virus ambazo ziliingia kutoka na labda kupakua kitu chochote hasa wanavyoshare watu kwenye magroup

Pakua Ant virus kutoka play store Kila kitu kitakuwa solved hiyo AVG antivirus itamaliza tatizoView attachment 2804831
Shukrani succesful 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Lazma iwe mchina tu aidha Infinix ama ndugu zake wa damu Tecno na Itel.

Simu OG hazinaga matangazo ya kijinga. Natumia Sony Xperia series sijawahi ona Tangazo la kipumbavu kwenye Notification BAR toka nimeanza kutumia hii simu. Badili simu huna namna na ukibadili usinunue Tecno ama Infinix tena.
Hii ni tecno?
 
Attachments

  • vidma_recorder_05112023_162734.jpg
    vidma_recorder_05112023_162734.jpg
    62.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom