Philemon38
Member
- May 30, 2018
- 74
- 31
wakuu simu yangu Aina ya TECNO CAMON X imepatwa na tatizo kila nikiiwasha inaishia kuwaka na kuandika jina tu then inaanza Ku load paspo fika kwenye files, naomben msaada nifanye nini
Jaribu ku hard resetwakuu simu yangu Aina ya TECNO CAMON X imepatwa na tatizo kila nikiiwasha inaishia kuwaka na kuandika jina tu then inaanza Ku load paspo fika kwenye files, naomben msaada nifanye nini
Nipe procedure za Ku hard reset mkuuJaribu ku hard reset
Recovery Mode - TECNO Camon CX - HardReset.infoNipe procedure za Ku hard reset mkuu
Shukran
Mkuu nimefuata procedure zote Ila Bado kuna sehem nikifika inagoma kuendelea,👇👇👇
Nime fuata procedure zote Ila kuna sehem imeandikwa NEXT nikibonyeza ili kuendelea inagoma 👇👇
Naomba msaada mkuu hapo nini nifanyeMkuu nimefuata procedure zote Ila Bado kuna sehem nikifika inagoma kuendelea,👇👇👇
Nime fuata procedure zote Ila kuna sehem imeandikwa NEXT nikibonyeza ili kuendelea inagoma 👇👇
Rudi hafi kwny welcome, chagua nextalaf chagua lugha ya kimalkia ili nielewe zaidi,Mkuu nimefuata procedure zote Ila Bado kuna sehem nikifika inagoma kuendelea,
Nime fuata procedure zote Ila kuna sehem imeandikwa NEXT nikibonyeza ili kuendelea inagoma
Sorry mkuu naomba namba yako ya WhatsApp tuwasilianeRudi hafi kwny welcome, chagua nextalaf chagua lugha ya kimalkia ili nielewe zaidi,
Ila hapo ulipo stuck nahisi ulchagua ku export data from ios device,option ya nyuma ya hapo chagua export from android uta sign in na google account yoo ya mwanzo au,
Chagua km new device,km ulweka google account itadai utaingiza
Utaikuta pmSorry mkuu naomba namba yako ya WhatsApp tuwasiliane
washa wifi kwa simu nyingineMkuu nimefuata procedure zote Ila Bado kuna sehem nikifika inagoma kuendelea,
Nime fuata procedure zote Ila kuna sehem imeandikwa NEXT nikibonyeza ili kuendelea inagoma
hapa unatakiwa uconnect simu yako na wifi ukimaliza kuconnect basi fuata hatuaMkuu nimefuata procedure zote Ila Bado kuna sehem nikifika inagoma kuendelea,
Nime fuata procedure zote Ila kuna sehem imeandikwa NEXT nikibonyeza ili kuendelea inagoma