donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
wakuu habar yenu. Mwenzenu juzi juzi psp yang light ilianguka bahati mbaya nakuvunjika display yake. Nimehangaika sana kutafuta replacement bila mafanikio. Naomba msaada kwa anaeweza faham mahala naweza pata. Thankx r in advance!