msaada pls

Toneva Pillar

Member
May 30, 2013
9
0
hivi kwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wametumiwa code kwa ajili ya kufanya comfirmation mfano UDSM inagoma kufungua msaada pls
 
Jitahidi itafunguka, mtandao pia unachangia hilo tatizo.

Hakikisha upo kwenye mtandao mzuri usio suasua
 
Back
Top Bottom