JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,262
Wakuuu salam,
Mwenzenu nimekwama nahitaji msaada wenu,
Nimeletewa hiki kisimu cha nokia kutoka uk huko alikuwa anatumia mtandao wa 3 ila tangu niipokee kila nikiweka line yoyote ya Tz naona inaniletea ujumbe huu ENTER RESTRICTION CODE, sasa sijajua naipata wapi hiyo code, nombeni msaada ndugu ili niweze kukitumia hiki kisimu
Ahsanteni