Msaada kwa nokia restriction code

damper

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
766
827
Nina nokia 6300 nikiweka sim card ina display Phone restricted na niki Undo inanitaka niweke restriction code. sasa sielewi lolote kwani sijui nitaipata wapi hiyo code. IMEI yake ni 356960012800129.
 
Asante kwa direction lakini nimekuta MIKINGAMO hata huko si wazi
 
Nina nokia 6300 nikiweka sim card ina display Phone restricted na niki Undo inanitaka niweke restriction code. sasa sielewi lolote kwani sijui nitaipata wapi hiyo code. IMEI yake ni 356960012800129.

Je, unataka kuondoa mtandao kizuizi kutoka Nokia yako 6300? Kama ni hivyo, kupata kizuizi code kutoka kwa mtoa Unlocking4U.com kwa unlcok Nokia yako 6300.
 
Back
Top Bottom