Msaada: Nawezaje kuondoa mabaka ya usoni yaliyosababishwa na chunusi?

Cha kwanza kabisa epuka kutumia ncha za kucha kutumbua chunusi, subiri ziive minya bila kutumia ncha ya kucha maana ina sumu inabaki kwenye kidonda na huchukua mda sana weusi kuisha kidonda kikishakauka, wee chagua chunusi moja itumbue bila kutumia ncha ya kucha utaona kidonda kikipona hakiachi weusi sana na unaisha wenyewe haraka sana,

Kingine kama ni mpenz sana wa kula pilipili punguza sana ikiwezekana acha kwa mda uone, hii ilinisaidia mimi kipindi cha ujana nilikua na shida kama yako nkaona kwa gazeti mtaalam anasema nayo inachangia nilivyoacha hadi leo hii sina na hata nikila pia havitokei tena.

Kingine jua chunusi za kutumbuliwa na kucha haziishi haraka inachukua hadi mwaka kuisha kabisaa haipo dawa yoyote ya kuondoa hayo madoa bali yanaisha yenyewe, uwe makini watakuambia tumia sijui nini mwishowe ujikute umejichubua uso mzima.

Tafuta sabuni nzuri isiyo na kemikali sumu (kwa maana za kuchubua) uwe unanawa uso mara kwa mara, hakikisha wakati unaenda kulala usipake chochote usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante kwa sana kwa comment nzuri na yenye afya, nitazingatia
 
Back
Top Bottom