Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,635
- 12,592
Wadau naomba msaada wa kujua kama naweza kutoka kabisa kwenye mtandao wa facebook kwa maana ya ku-resign na kuachana kabisa na mtandao huo!!! umejaa utoto mno kiasi kwamba sioni faida yake hata punje. kwa yeyeto anayeweza kunishauri namna ya kufuta kabisa ID yangu na particulars zangu ntashukuru sana,
Naomba kuwasilisha!!
Naomba kuwasilisha!!