Msaada: Nawezaje ku-resign kabisa kwenye mtandao wa facebook?

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,578
12,479
Wadau naomba msaada wa kujua kama naweza kutoka kabisa kwenye mtandao wa facebook kwa maana ya ku-resign na kuachana kabisa na mtandao huo!!! umejaa utoto mno kiasi kwamba sioni faida yake hata punje. kwa yeyeto anayeweza kunishauri namna ya kufuta kabisa ID yangu na particulars zangu ntashukuru sana,

Naomba kuwasilisha!!
 
Mkuu,
Umechelewa kugundua, lakini si mbaya!
Facebook imekuwa kichaka cha kila anaye-access kompyuta kuweka utumbo wake humo, na bahati mbaya watu wanatumia information za humo, whether graphics or writings kufanya biashara bila taarifa ya wenyewe!...i badly hate this facebook-bug..

Sijachunguza policy yao ya ku'unregister, lakini umeleta changamoto zuri, tutaifanyia kazi, nadhani pia ukigoogle unaweza kupata option ya kusepa huko!
 
mkuu,
umechelewa kugundua, lakini si mbaya!
Facebook imekuwa kichaka cha kila anaye-access kompyuta kuweka utumbo wake humo, na bahati mbaya watu wanatumia information za humo, whether graphics or writings kufanya biashara bila taarifa ya wenyewe!...i badly hate this facebook-bug..

Sijachunguza policy yao ya ku'unregister, lakini umeleta changamoto zuri, tutaifanyia kazi, nadhani pia ukigoogle unaweza kupata option ya kusepa huko!

in a meantime just ignore yo account. Mi yangu cjaifuta ila siiumii,nimeamua tu toka moyoni sifungui full stop. Kuwa na self discipline tu.
 
1. Kwanza delete picha zako zote.
2. Kwenye icon ya account scroll hadi deactivate account click na usirudi tena.
Kwa kufanya hivi una hakika hakuna atakaeaccess picha zako wala taarifa nyingine baada ya hapo miongoni mwa marafiki zako katika fb, isipokuwa service providers katika system yao.
 
Nazidi kufurahi kuwa kumbe kuna kundi linagundua kuwa facebook kuna utoto na ushamba. Nilidhani ni peke yangu.
 
Nashukuru nimefanikiwa kabisa na nimefanikiwa ku-deactive Account yangu kwenye Facebook najihisi nimetekeleza moja ya suala muhimu kwa week hii, Asante pakajimmy, Ceekei na Brandon!!!

Naomba niweke link kwa yeyote atakayehitaji kujifunza namna ya ku-unregister Axxount ya face book!

Unregister Facebook
 
Wadau naomba msaada wa kujua kama naweza kutoka kabisa kwenye mtandao wa facebook kwa maana ya ku-resign na kuachana kabisa na mtandao huo!!! umejaa utoto mno kiasi kwamba sioni faida yake hata punje. kwa yeyeto anayeweza kunishauri namna ya kufuta kabisa ID yangu na particulars zangu ntashukuru sana,

Naomba kuwasilisha!!

Facebook ya kipumbavu. maana nzima ya networking imeharibiwa na mabinti wa kibongo kutwa kushindana na pamba za kichina LV na kusengenyana. pia ndoa kibao zimetekenywa na facebook..mweeh
Jitokee. bora linkedin.com kuliko kitabusura
 
Facebook ni ya watoto wa shule na wale wanaopenda kujua habari za watu. Otherwise haina mpango kabisa. Why kuexpose maisha yako kwa jamii? Hahaha ni online dating!!!
 
Unaweza ku-delete Facaebook account yako permanently ila ni bahati mbaya sana hawa jamaa wa Facebook hawajaweka "kidude" cha ku-bofya na badala yake inabidi kutumia link hii hapa https://www.facebook.com/help/contact.php?show_form=delete_account .

Kumbuka uki-deactivate account yako haimaanishi kuwa umei-delete...unaifanya kuwa in-active tu na mara utakapo-sign in tena inakuwa active.Hiyo link hapo juu uki-click itakupa nafasi ya ku-delete account yako permanently.Ndani ya siku 14 mpaka mwezi mmoja hutoweza kupatikana kwenye facebook na hata record zako kwenye Google haziwezi kuonekana.Kumbuka ku-delete picha na mambo yote ndani ya facebook kabla ya ku-clik hiyo link!

Mimi niligundua kuwa Facebook ni upuuzi long time nikaona inanipotezea muda wa kusoma research papers na kuandika hasa wakati niko Graduate School and I am glad nilichukua uamuzi wa kuifuta account yangu and I dont regret.
 
Thanks Mpogolo at last nimefanikiwa Ku-deleten na within 14 days it will be ermanently deleted!!! nafikiri pia ni link itakayowasaidia wengine.......!!!!
 
Dah lakini imenikutanisha na mchizi wangu wa long time kitambo lakini kiujumla sio
 
Waungwana facebook si mbaya kama mnavyojaribu kielezea hapa.
Its a matter of being in right place at right time.
 
Facebook ni nzuri. Anayesema ni mbaya ni mbaya kwake lakini ni nzuri kwangu ingawa mimi sio mtoto bana. Msipotoshe watu kwa shida zenu binafsi. Wengine tunaipenda.
 
facebook 50/50, ni mbaya kama ukiitumia vibaya....pia nzuri iwapo utaitumia vizuri kwa wakati.
 
Back
Top Bottom