Msaada: Naweza kupata katiba online?

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Tafadhali ndugu zangu nina shida ya katiba.

Kama kuna mtu anajua link ambayo naweza ku download katiba (english or swahili version) with all amendments so far please help.

Amani baraka
 
Back
Top Bottom