Msaada dawa ya maumivu ya kisigino na kidole cha mwisho cha mguu

PistolGang

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
392
44
Habari za wakati huu wadau? Jamani naombeni msaada nimekuwa nikisumbuliwa na miguu sehemu za visigino hasahasa mguu wa kulia.
Inapofika asubuhi nikiamka siwezi kutembea nachechemea kwa dakika kadhaa ndio nakuwa angalau.
Nikikaa kwenye kiti hasa kiti kirefu ambacho nimeninginiza miguu nikishuka nianze kutembea nitachechemea kwa dakika kadhaa.
Nikivaa viatu vya kudumbukiza napata tabu sana maumivu miguuni yaani nachechemea mguu unavuta kuanzia kisigino hadi gumba.
Kingine, nina sugu mguu wa kulia maumivu ninayopata hapo jamani yaani pasiguswe na chochote ni panauma balaa, nikivaa viatu ndio balaa.

MWENYE KUJUA SULUHU YA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA ( Dawa ipi nitumie)

Asanteni muwe na wakati mzuri
640px-Foot_on_white_background_(cropped).jpg
View attachment 2489735
 
View attachment 2489736View attachment 2489735

Pole sana boss,ngoja waje wataalam wakupe muongozo
 
Habari!
1: Visigino kuuma, huweza kutokana na hali iitwayo Calcaneous spur. Kama hakuna historia ya ajari, hali hii huanzishwa pale ambapo:
A: Unavaa viatu vyenye sole ngumu
B: Kazi ya kusimama muda mrefu
C: Uzito mkubwa
D: Kutembea umbali mrefu
Kutatua kikamilifu, badili mwenendo hapo juu na kutumia dawa ya maumivu kulingana na hali yako kama allergy vs vidonda vya tumbo nk.
Pia, unaweza kupitisha barafu au kitambaa chenye maji ya baridi kwa eneo husika mara tatu kwa siku.

2: Hii kwenye kidole ni Corn.
Hujitokeza kutokana na msuguano wa viatu na sehemu husika.
Tiba:
A: inaweza kukatwa
B: Kutumia salicylic acid cream ili kulainisha.
Hakikisha hauvai viatu vyenye kubana.
Ukiangalia haya yote, utahitaji kupata huduma ya mtoa huduma ya afya aliyeko karibu yako pia.
 
Mzunguko mbaya wa damu, haifiki vizuri sehemu za mwisho kwenye vidole vya miguu na hasa mkono, nadhani inaambatana na viganzi
 
Habari!
1: Visigino kuuma, huweza kutokana na hali iitwayo Calcaneous spur. Kama hakuna historia ya ajari, hali hii huanzishwa pale ambapo:
A: Unavaa viatu vyenye sole ngumu
B: Kazi ya kusimama muda mrefu
C: Uzito mkubwa
D: Kutembea umbali mrefu
Kutatua kikamilifu, badili mwenendo hapo juu na kutumia dawa ya maumivu kulingana na hali yako kama allergy vs vidonda vya tumbo nk.
Pia, unaweza kupitisha barafu au kitambaa chenye maji ya baridi kwa eneo husika mara tatu kwa siku.

2: Hii kwenye kidole ni Corn.
Hujitokeza kutokana na msuguano wa viatu na sehemu husika.
Tiba:
A: inaweza kukatwa
B: Kutumia salicylic acid cream ili kulainisha.
Hakikisha hauvai viatu vyenye kubana.
Ukiangalia haya yote, utahitaji kupata huduma ya mtoa huduma ya afya aliyeko karibu yako pia.
Shukrani mkuu. Ngoja niende hospital sasa
 
Back
Top Bottom