Msaada, macho yamekosa nguvu ya kuona mbali baada ya kutumia Dawa kutibu Red eyes

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Jamani niliugua kitu kinafanana na red eyes,, mishipa ikion jua ikawa inauma sana. Nikaenda hapa Bugando polyclini near Mwanza nikapimwa nikapewa daw ya maji..nimetumia ika wa unafuu ikawa hakuna.

Baadaye nikapewa dwa za maumivu nikameza ikawa Ile Hali ya maumivu ya misuri ikawa imeisha. Lakini sasa ghafla kuanzia Jana macho hayawezi kuona ..yaani tv ikiwa mita kumi kutika kwangu siwezi kuona clearly picha Wala maandishi.

Je, kuna mwenye uzoefu wa hili tatizo na ukufabya je kukabiliannalo.

Naomba ushari
 
1. Kunywa maji mengi. Atleast lita 3 kwa siku.
2. Dhibiti matumizi ya simu, laptop, computer, na Luninga
3. Kula karoti mbili kwa siku. Moja asubuhi nyingine jioni. Kwa miezi mitatu.
4. Lala muda wa kutosha masaa yasiyopungue 8. Na kuanzia saa 2 au saa tatu usiku.
 
Mkuu Asante sana Kwa mawazo haya.Mungu akubariki
 
Dah hili tatizo la kushindwa kusoma maandishi ya kwenye TV ikiwa mita 10 hata mimi ninalo ngoja nisubiri majibu
 
Shida limetikae ghafla,,siku za nyuma nilipimwa nikambiw jicho la kushoto inaona karibu TU ila mbali linaona kichana na jicho la kulia linaona vizuri mbali lakini karibu ni kichina tu ndo nilivyozaliwa sasa ghafla Jana mbali sion kuanzia hata mita 5 nasoma maandishi kwa shida hata Yale ya kwenye mabango
 
Hata sura ya ntu akiwa umbali mita 3 simuoni vizuri usoni
 
Baada ya kupata ugonjwa wa Red Eyes Kuna watu tulitumia mpaka maziwa ya kitimoto tuliambiwa ni dawa! Ngoja na sisi tusubiri matokeo yetu!
 
Si wataalam walisema red eyes hupona yenyewe.
Labda hizo dawa ndo zinaharibu jicho maana huenda unatibu usichokua nacho
 
Jamani niliugua kitu kinafanana na red eyes,, mishipa ikion jua ikawa inauma sana. Nikaenda hapa Bugando polyclini near Mwanza nikapimwa nikapewa daw ya maji..nimetumia ika wa unafuu ikawa hakuna.

Baadaye nikapewa dwa za maumivu nikameza ikawa Ile Hali ya maumivu ya misuri ikawa imeisha. Lakini sasa ghafla kuanzia Jana macho hayawezi kuona ..yaani tv ikiwa mita kumi kutika kwangu siwezi kuona clearly picha Wala maandishi.

Je, kuna mwenye uzoefu wa hili tatizo na ukufabya je kukabiliannalo.

Naomba ushari
Wakati flani, dawa tunazotumia huwa zina "side effects", ambazo hudumu kwa muda mfupi na kisha kutoweka, kwani wapiganapo fahari wawili ziumiazo ni nyasi! Hivyo, kuwa mvumilivu, huenda ni jambo la muda mfupi tu.
 
Hizi ndo dawa nimetumia nimeattache.Lakini mwanzo kabla ya jsuhauli kutumia hizo dawa nilinawa na maji ya chumvi kwa mbali kaw siku 2 kutwa mra 2
 
Attachments

  • IMG-20240206-WA0008.jpeg
    IMG-20240206-WA0008.jpeg
    366.9 KB · Views: 5
  • IMG-20240203-WA0027.jpeg
    IMG-20240203-WA0027.jpeg
    782.1 KB · Views: 6
  • IMG-20240206-WA0006.jpeg
    IMG-20240206-WA0006.jpeg
    469.2 KB · Views: 8
Dah hili tatizo la kushindwa kusoma maandishi ya kwenye TV ikiwa mita 10 hata mimi ninalo ngoja nisubiri majibu
Una matatizo ya macho. Nenda kamuone dr wa macho kama kuna umuhimu bila shaka utapata miwani. Achana na ushauri wa huku, matibabu hutolewa baada ya dr kumfanyia mgonjwa diagnosis.
 
Mkuu Asante sana Kwa mawazo haya.Mungu akubariki
Usiwe mrahisi hivyo kuamini ushauri bila kujua tatizo. Matibabu siku zote hutolewa na dr baada ya kukuangalia na kujua tatizo lako ni nini. Nenda kwa dr wa macho anayeaminika, hasa waliopo hospital zinazojulikana.
 
Huoni kwa sababu kile kiini cha kati cheusi kimesinyaa, cha kufanya:-
  • Kaa mbali na vitu vyenye miale mfano tv, simu, laptop n.k kwa muda wa wiki moja.​
  • Kula vyakula vya lishe mfano supu ya mchicha, maharage, uji wa ulezi kwa pamoja.​
  • Usitumie pombe kwa sasa, kama huwa unatumia.​
  • Lala muda mrefu.​
  • Baada ya kama siku mbili au tatu, jicho litarudi katika hali ya kawaida.​
  • Kama umetumia dawa za maji hazijakusaidia, sitisha kwanza; kwa sababu ukitumia zaidi huwa zinatabia ya kukausha maji ya jicho na kufanya kuwa kavu, ndio maana tunashuriwa tutumie 1 drop.​
 
Una matatizo ya macho. Nenda kamuone dr wa macho kama kuna umuhimu bila shaka utapata miwani. Achana na ushauri wa huku, matibabu hutolewa baada ya dr kumfanyia mgonjwa diagnosis.
Tatizo madaktari wanakimbilia kukuvalisha miwani
 
Huoni kwa sababu kile kiini cha kati cheusi kimesinyaa, cha kufanya:-
  • Kaa mbali na vitu vyenye miale mfano tv, simu, laptop n.k kwa muda wa wiki moja.​
  • Kula vyakula vya lishe mfano supu ya mchicha, maharage, uji wa ulezi kwa pamoja.​
  • Usitumie pombe kwa sasa, kama huwa unatumia.​
  • Lala muda mrefu.​
  • Baada ya kama siku mbili au tatu, jicho litarudi katika hali ya kawaida.​
  • Kama umetumia dawa za maji hazijakusaidia, sitisha kwanza; kwa sababu ukitumia zaidi huwa zinatabia ya kukausha maji ya jicho na kufanya kuwa kavu, ndio maana tunashuriwa tutumie 1 drop.​
Ngoja nitest
 
Back
Top Bottom