Msaada: Maana na kazi za HTTP vs HTTPS

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
Wadau, nini maana ya HTTP na HTTPS ambayo yanajiandika kwenye address bar pindi unapofungua website,maana kila nnapofungua account yangu ya facebook na gmail huwa inaandika HTTPS lkn nnapofungua website nyingine inandika HTTP,
 
Ngoja niandike kwa urahisi
http ni protocol inayotumika kuwezesha mawasiliano kati ya browser(internet browser,mozilla n.k) na web server kwa kutumia port namba 80
NINI KINATOKEA
Mfano,
1.Ukiandika www.google.com-kuna kitu kinaitwa DNS kinabadili google kwenda ip yake
2.Ip hyo inapewa source port na destination port ya 80
3.Google wana servers zao ambapo port 80 ni default web server so watajibu request kutumia source port yako
HTTPS.
Hii inafanya kazi kama http ila tofauti ni reuquest inapitia server nyingine which is 443(port) for security purposes so request zote zinapitia port hyo

Wataalam watakuja kufafanua zaidi
 
Tried but not how they actually works;
Most web browsers use an encrypted protocol called Secure Sockets Layer (SSL) to access secure webpages. These pages use the prefix HTTPS. The "s" stands for secure.​
https encrypts everything you do so that no one can read what you type but the recipient.

If you're just browsing the web and not entering any sensitive information, http:// is just fine.​
http send everything you do in plan text for any one to read.
FYI All of these happens irrespective of port number

HTTPS ni HTTP Secure, hii inafanya mawasiliano kwa kutumia encryption, yaani inavurugua wamasiliano ili kama kuna mtu anajaribu kuyasoma mawasiliano kati ya wewe na hiyo website atashindwa. Tofauti na HTTP ambayo ni plain text yaani mtu akifanikiwa kuingia katika line ya mawasiliano kati ya wewe na website anaweza kusoma data zote.

Kuweka HTTPS kunatumia resources za server (encryption/decryption zinakula CPU) ndo maana mara nyingi HTTPS inatumika katika page za login tu kuzuia mtu kuinyaka password ya mtumiaji. Ila kuna daadhi ya kampuni kama Google zimeanza kutumia HTTPS kila sehemu.
 
Du jamani asanteni hata mimi nilikuwa sielewi HTTP na HTTPS nimekumbana nazo hasa katika Google
sasa nimeinyaka vyema
 
Tried but not how they actually works;
Most web browsers use an encrypted protocol called Secure Sockets Layer (SSL) to access secure webpages. These pages use the prefix HTTPS. The "s" stands for secure.​
https encrypts everything you do so that no one can read what you type but the recipient.

If you're just browsing the web and not entering any sensitive information, http:// is just fine.​
http send everything you do in plan text for any one to read.
FYI All of these happens irrespective of port number

Hao ndo wataam bwana

Very good at copying and pasting
 
Tried but not how they actually works;
Most web browsers use an encrypted protocol called Secure Sockets Layer (SSL) to access secure webpages. These pages use the prefix HTTPS. The "s" stands for secure.​
https encrypts everything you do so that no one can read what you type but the recipient.

If you're just browsing the web and not entering any sensitive information, http:// is just fine.​
http send everything you do in plan text for any one to read.
FYI All of these happens irrespective of port number

Nashukuru kwa fafanuzi zenu ila na mimi naomba nipate lift kwa mleta mada.
Mi naomba msaada hapa:
nina hitaji kujifunza website developing(self studying), naomba mnielekeze trend na materials za kusoma.
Nimesoma communication engineering.
 
The heart of any webpage is HTML,other decorations will come with time , general understanding & requirements.
For self study am recommending
www.w3schools.com, there are number of amazing easy to learn & apply tutorials

start with HTML from there. all the best dude

Nimejitahidi kusoma HTML/XHTMLfrom the begining, leo nime malizia frames ila naona wengi wanaidharau kidogo HTML, wanasema it's poor tool. Natarajia kuanza CSS kesho. What do think.
 
umejaribu kusearch ktk google?

wakuu tukumbuke sisi ndio tunafanya google iwe na thamani, kama walio-post information before wangetegemea google hakuna mtu ambaye angekuwa ana-google kwa sasa.
unapomuelezea mtu kitu jinsi ulivyoelewa wewe unamsaidia zaidi kuliko kumwambia wapi atapata majibu
:focus:

post #4 inatoa mwanga
 
Nimejitahidi kusoma HTML/XHTMLfrom the begining, leo nime malizia frames ila naona wengi wanaidharau kidogo HTML, wanasema it's poor tool. Natarajia kuanza CSS kesho. What do think.
Umeambiwa the heart of websites its html. So huwezi kufanya css kama hujui html. Kwanza elewa architecture of the web, elewa diffetent technologies na kazi zake. Hakikisha kwanza una general understanding "the big picture" then uanze kujifunza vipande vidogo vidogo.
 
TUSIWE WAVIVU KIHIVYO KUNA VITU VYA KUOMBA MSAADA...HIVI "GOOGLE" MNAITUMIA KWELI AU HAMJUI KAZI YAKE USIMPE MTU SAMAKI MFUNDISHE KUVUA SAMAKI....NDIO MANA HATA RAISI WENU NI OMBAOMBA(MATONYA) BONGO JINGA SANA.....HUYO JAMAA ANGEPEWA LINK YENYE ARTICLE TUUUU!
Difference Between HTTP and HTTPS-Explained in simple english - Tech Bit N Byte

we ndo mvivu na kilaza, lugha ya kwenye net iko very technical na ni ngumu sana kwa mtu ambaye si mtaalamu wa Computer kuelewa
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Back
Top Bottom