Msaada kwa wanaojua machimbo yanayouza simu na computer used kutoka nje

cetterhutter

Senior Member
Sep 5, 2017
167
75
Nahitaji kwenda Zanzibar kununua simu na laptop used kutoka nje nasikia kule ni bei rahisi. Mliowahi kwenda kule naomba mwongozo.

Naomba nijue maeneo wanapouza hivyo vitu kwa jumla pia naomba nijue kodi zikoje wakati wa kurudi.

Ni hayo tu, naombeni ushirikiano wenu.
 
Zanzibar watu wanakwenda kununua sim za mtumba Original sio sim mpya
Japo na mpya zipo lakini bei zao azina tofauti sana
Mfano sim mpya Dar ni laki 4
Zanzibar unaweza kuipata kwa tatu na nusu au tatu thelathini
Sasa changanya na nauli ya kwenda na kurudi
Ila sim ya used mtumba og, labda sim ni ya laki 6 Zanzibar unaweza kuipata kwa laki 3 au mbili hamsini
Tatizo lao Wazanzibar kama ni sim used wanatoa betry Original wanaweka feki, hivyo hivyo na kwenye computer
Kama hautakuwa makini utapigwa changa mchana kweupe
Ila kama una mtu wako Zanzibar mtumie huyo bila wewe kwenda ni ganda la ndizi..
 
Dah unamuongopea kiaina... Vitu vipya hapa ni hei ghali zaidi ya Dar....

Used zipo chini na ukitaka tembelea soko la Darajani kuna maduka yamepangana yanauza used phones hasa iphones na sumsung....
 
Hili ndio jibu
Kuanzia simu na laptop Mpya kwa Zanzibar bei kubwa kuliko Dar
 
Back
Top Bottom