Msaada kwa namba hii

pomo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
267
31
Naomba msaada kwa mwenye kujua namba hii ya tccl 0222128620 ambayo ni ya dar es salaam
ilinipigia jana jioni, nimejaribu kuitafuta naona kama ni ya fax vile, nahofia nisije kukosa usahili
nilikuta missed call mbili nilikuwa nimeiacha simu
 
ndugu,next time kama kuna sehemu kadhaa unasikilizia kuitwa for usaili,jaribu kutembea na simu yako mwanzo mwisho.tusubiri wanaoifahamu watatusaidia....
 
Naomba msaada kwa mwenye kujua namba hii ya tccl 0222128620 ambayo ni ya dar es salaam
ilinipigia jana jioni, nimejaribu kuitafuta naona kama ni ya fax vile, nahofia nisije kukosa usahili
nilikuta missed call mbili nilikuwa nimeiacha simu
You guy can't be serious.
 
HIYO NAMBA NI YA UDBS CAREER CENTRE KAMA ULISHAWAHI KUOMBA FIELD AMA KAZI.BASI LEO WENZIO NDIYO WALIKUWA WAMEITWA KWENYE INTERVIEW MIDA YA SAA NANE. KAMA NI MHUSIKA TOKA UDBS JITAHIDI UENDE UDBS ROOM NO. 324 KWA MAELEZO ZAIDI.
Hope nimekujibu.
 
Yeah ni mtoto huyu ndio maana mtu mzima hawezi kuandiika *****
nawashukuru wote kwa ushirikiano, ila ndo hivyo tena itakuwa sio riziki, simu sikuiacha kwa makusudi nlikuwa
nimeweka kwenye chaji.
 
HIYO NAMBA NI YA UDBS CAREER CENTRE KAMA ULISHAWAHI KUOMBA FIELD AMA KAZI.BASI LEO WENZIO NDIYO WALIKUWA WAMEITWA KWENYE INTERVIEW MIDA YA SAA NANE. KAMA NI MHUSIKA TOKA UDBS JITAHIDI UENDE UDBS ROOM NO. 324 KWA MAELEZO ZAIDI.
Hope nimekujibu.
sijui huko UDBS career centre ndo wapi, maana sisi ni wazee wa kutupia tu
 
nawashukuru wote kwa ushirikiano, ila ndo hivyo tena itakuwa sio riziki, simu sikuiacha kwa makusudi nlikuwa
nimeweka kwenye chaji.
Si umeshauriwa na bampami cha kufanya nenda kwanza uwasikie af ndo utajua ka ni riziki au sio
 
HIYO NAMBA NI YA UDBS CAREER CENTRE KAMA ULISHAWAHI KUOMBA FIELD AMA KAZI.BASI LEO WENZIO NDIYO WALIKUWA WAMEITWA KWENYE INTERVIEW MIDA YA SAA NANE. KAMA NI MHUSIKA TOKA UDBS JITAHIDI UENDE UDBS ROOM NO. 324 KWA MAELEZO ZAIDI.
Hope nimekujibu.
nimeamini hapa jukwaan ni mwisho wa matatizo
 
university of dar es laam busness school.
yaah hapo kweli niliomba, dah, sasa hawa mbona wanakuwa kama sio wasomi vile,
unapigiwa simu leo ili ufanye usahili kesho yake! sasa sisi wa mikoa ya mbali tutaweza kweli?
 
Akufukuzae hakwambii toka!!!
 
Back
Top Bottom