Msaada kuhusu speed ya modem yangu (zantel)

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
695
Hapa karibuni kama mwezi hivi, modem yangu ya zantel imekuwa na speed ndogo zana, 153kb/sec wakati hapo kabla ilikuwa ina speed ya 3.1mb/sec sasa sijui wenzangu wanaotumia zantel nao ni hivo hivo na nifanyeje kuispeed up modem yangu?, najaribu kubadilisha CMAM kuwa EVDO inakataa, nikweka EVDO inakuja HYBRID then CDMA, Napata shida sana manake inakuwa slow mpaka inakera. Nipo lindi town, hapo kabla speed ilikuwa nzuri mpaka unaweza kuangalia video mwanzo hadi mwisho.
 
Jaribu kunde kumia maaneo mengine-mfano nje kidigo ya mji wa lindi.au jaribu kutoa DRIVER zake na kutia tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom