Msaada kuhusu malipo ya usafi wilaya ya Ilala

Seeker88

New Member
May 27, 2017
1
0
Habari zenu ndugu zangu.Naomba msaada wenu juu ya suala la risiti.

Naishi Dar es salaam, leo wamekuja maafisa wawili nyumbani ninapoishi wa kikundi cha Dar es salaam environment "halmashauri ya manispaa ya Ilala" wamedai hela ya usafi nikampatia mmoja elfu 5000 akarudisha elfu 2500.

Nikadai risiti wakanambia kama nataka risiti nilipie 5000.
1. Je, risiti zipi ni halali maana nimepewa risiti za zamani?
2. Je, gharama ya usafi inalipiwa kwa nyumba au kila chumba kwa nyumba za kupangisha?

Mwenye kufahamu anisaidie maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom