Kauli za mkuu wa mkoa Chalamila kuhusu siku ya usafi Januari 24

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
"Asiyetoa mchango au ada ya takataka akamatwe, na ndio maana tarehe 23 na 24 tutafanya usafi kabambe na magari yatakuwepo kubeba taka sasa atakaejifanya takataka na yeye atabebwa"

"Tarehe 20 na 21 nitagawa vifaa vya usafi kwa vyombo vya dola watu wapige kazi mpaka jioni, watu wanachanganya sijui kuna maandano ila sisi tunaendelea na kazi hizo taarifa za maandamano zinapatikana kwa Muliro" - Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. #EastAfrucaTV
 
.
1705313425807.jpg
 
da!! siku moja nilimshuhudia mkuu wa mkoa wa zamani wa dsm akikatiza kariakoo,mzee KANDORO,,yaani wa2 walikuwa wakimshangilia balaa!! si wamachinga wala mama ntilie,,yaani ilikuwa vurugu la furaha mpaka askari wakaingilia kati,,,nilikuwa natafakari kwa muda sana,leo ndo nimepata muda kumbe alikuwa na kauili laini!!
 
Rais awe makini na Wasaidize wake.

MATAMKO KAMA HAYA YANAMPUNGUZIA SIFA NJEMA KWA WANANCHI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni maneno ya mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila kuwa siku hizo mbili za tarehe 24 na 25 ni siku za usafi ,ambapo atagawa vifaa vya usafi kwa vyombo vya ulinzi kwa ajili ya kushiriki katika zoezi la usafi mkoa wa Dar es salaam. Na kwamba atakayejifanya yeye ni takataka siku hiyo basi naye atazolewa kama takataka.

Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa RC ameamua kuvitumia na kuvishirikisha vikosi vya usalama katika usafi katika adhima na lengo la kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulioenea katika mikoa sita kama ilivyotangazwa na wizara ya afya.lakini pia ugonjwa huu umeenea na umeendelea kuwa tishio katika nchi ya zambia ambao ni majirani zetu.

Kwa hiyo mh Chalamila ameamua kuchukua tahadhari kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuhakikisha kuwa ugonjwa huo hauingia katika mkoa huo ambao ndio kitovu cha uchumi na biashara hapa nchini na mkoa unaotegemewa na nchi jirani kupitishia mizigo yao katika bandari yetu.

Tumuunge mkono mh Mkuu wa mkoa katika juhudi zake za kukabiliana na kudhibiti ugonjwa huu wa kipindu pindu unaotokana na uchafu.tuwe wasafi na tusafishe mazingira yetu katika maeneo mbalimbali hapa nchini .maana ukiingia na kuenea utakwamisha ufanyaji wa shughuli za kiuchumi na uzalishaji .

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Sawa acha maandamano yatokee tuone.
 
Peleka ujinga wako kwa wajinga wenzio huko lumumba
 
da!! siku moja nilimshuhudia mkuu wa mkoa wa zamani wa dsm akikatiza kariakoo,mzee KANDORO,,yaani wa2 walikuwa wakimshangilia balaa!! si wamachinga wala mama ntilie,,yaani ilikuwa vurugu la furaha mpaka askari wakaingilia kati,,,nilikuwa natafakari kwa muda sana,leo ndo nimepata muda kumbe alikuwa na kauili laini!!
Asha Rest in ☮️
 
Back
Top Bottom