Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,006
706
Habari zenu mabibi na mabwana!
Naomba mwenye information kuhusu percentage wanazowakata recruiters wake,especially nbc bank tellers na vodacom customer care!!ntafurahi endapo ntajulishwa na package yao imekaaje.
Ahsanteni.Ushauri wenu ni muhimu sana.:teeth:
 
ndio nimepata kazi,ila bado sijazijua vizuri terms and conditions zao,hivyo napata wakati mgumu kidogo,hivyo kama kuna mtu yeyote ambae anawaelewa vizuri hawa jamaa anijuze tafahali
 
These guys sell you like a machine or roboti.. they take the full amaount and pays you on what you agreed
Kwa hiyo ukilipwa laki 200 ndo uliyobargain...wao wakichukua 1m haikuhusu...( wewe unabaki ni mwajiriwa wa erolink/ero novis)
so kwa kifupi umeliwa hao jamaa ni wanyonyaji kishenzi..
dont even think about it.. ndo maana customer care ya voda inabadilika kila siku....sikujua ni kwa nini NBC service zao mbovu... sasa ndo ninajua..
Go through other recruitment agencies...
 
thanx for ur advice dude,i will work on it,but c unajua tena mambo ya ajira yalivyokuwa magumu
 
Usifuate maneno ya watu...hapa ulivyoambiwa sio vle ilivyo kwa uhalisia wake kbc...mapungufu yapo bt co kwa kiwango hcho... Nitumie e-mail address yako ntakutumia maelezo jioni.
 
These guys sell you like a machine or roboti.. they take the full amaount and pays you on what you agreed
Kwa hiyo ukilipwa laki 200 ndo uliyobargain...wao wakichukua 1m haikuhusu...( wewe unabaki ni mwajiriwa wa erolink/ero novis)
so kwa kifupi umeliwa hao jamaa ni wanyonyaji kishenzi..
dont even think about it.. ndo maana customer care ya voda inabadilika kila siku....sikujua ni kwa nini NBC service zao mbovu... sasa ndo ninajua..
Go through other recruitment agencies...

Ndo washenz.i hivyo?
 
Usifuate maneno ya watu...hapa ulivyoambiwa sio vle ilivyo kwa uhalisia wake kbc...mapungufu yapo bt co kwa kiwango hcho... Nitumie e-mail address yako ntakutumia maelezo jioni.

ok mkuu,ntakuinbox my email!unipe reality!its real confusing kwakweli!!thanks
 
Kwa nini hayo maelezo usiya post hapa ili na wengine waujue ukweli?
Umeandika la maana sana!.
Mahali ninapofanya kazi kuna watu wao, jamani kama Tanzania ndio tunakoelekea tumekwisha. Jamaa ni wanyonyaji kiasi cha kutisha, na kwa kuwa ajira ni shida vijana wetu hawana jinsi wanafanya hivyo hivyo. Bora uweke hayo maelezo tujue ni wao ndio watesaji au kwa kuwa watu hawajui haki zao ndio maana wanateseka.
 
very good point,at the right moment,tujuze tafadhali mkuu
 
Hivi haiwezekani wao kuwa mawakala tu ukishapata kazi unaachana nao mpaka wakuajiri wao kwanza?. Tatizo nilionalo kwetu ni kuwa unafanya kazi kwenye kampuni, tena inawezekana ikawa nzuri na yenye kujali lakini wewe huwezi kupata manufaa yoyote kwa kuwa wewe si mwajiriwa wao. Unaisaidia kampuni kufikia malengo lakini hupati bonus wala kivutio chochote wewe na mshahara wako tena uliopatana na Eurolink, bahati mbaya kwa wengi ni mdogo sana.
 
Niko kwa mkoloni kwa sasa ntajitahd niweke maelezo hayo jioni...

NB; Nawaelewa vzr coz nimeshawahifanya chini yao.
 
ur welcome mkuu,we r waiting for ur comment...!nice job then
 
nimewahi kufanya nao kazi call center vodacom miaka mitatu iliyopita.... mshahara customer care kipindi kile ilikua si zaid ya laki tano but hii inategemea na masaa uliyofanya kazi, wanalipa kwa masaa. mwajiri wako anakua erolink then pale inakua kama center ya kazi so any thing related to work you report to them.
hata kama kuna issue wanabana but bora ufanye kuliko kukaa nyumbani tu
 
Back
Top Bottom