Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

Usifuate maneno ya watu...hapa ulivyoambiwa sio vle ilivyo kwa uhalisia wake kbc...mapungufu yapo bt co kwa kiwango hcho... Nitumie e-mail address yako ntakutumia maelezo jioni.

Ebwana weka hapa wote tuone ndo tujuge kama wezi au sio...Kiukweli wabongo tunanyonywa sana ugumu wa ajira ndo watu wanatake advantage so weka hzo details watu tuone..
 
Habari zenu mabibi na mabwana!
Naomba mwenye information kuhusu percentage wanazowakata recruiters wake,especially nbc bank tellers na vodacom customer care!!ntafurahi endapo ntajulishwa na package yao imekaaje.
Ahsanteni.Ushauri wenu ni muhimu sana.:teeth:

kumbe walikuwa wezi!
 
...ukiwa na njaa na shida ya ajira,basi chochote utakipokea kutoka kwa mwenye kazi yake bila kujari kama unanyonywa,huwezi anza na mshahara wa mahana hasa ukiwa mtoto wa familia duni,labda ushikwe mkono na mtu mkubwa apo ofisini,apa ni ili mradi @wa mwezi una nauli,vocha,sabuni na pesa ya kutoa copy&kuingia net,kwa kifupi usiwe mzigo home/kwa wazazi.

Cha msingi apa we bagain now uone inalipa,then jipange ukiwa umejishikiza,Ero ni wanyonyaji lakini pia ndo policy za ofisi yao,kwamba wao wale wapi.....???!!!

ni ushauri tu ndugu,life liko tite hasa kama huna pa kuamkia kila ifikapo asubuhi....!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom