Msaada kufanya installation ya whatsapp kwenye Nokia lumia 532

namanyele

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,852
608
Habari wakuu,
Nimenunua simu mpya Nokia lumia 532, internet nimeset vizuri na ina operate kama kawaida, nimeshindwa kuweka whatsapp na software zingine kama vile youtube, twitter, instagram na social network nyingine nyingi. Naombeni msaada wenu kupata maelekezo zaidi. Ahsanteni
 
1. Hakikisha una acount ya microsoft. Kama huna tengeneza unaweza tumia tu email yako ya sasa.

2.kwenye app zako tafuta ilioandikwa store ingia tafuta whatsapp download itadai microsoft acount login nayo halafu download whatsapp itaingia
 
Ahsante mkuu, ngoja nijaribu nitarudi badae nikishindwa
 
Back
Top Bottom