Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,737
- 39,838
IPad Air 2 iuzwe laki 3 una masihara nadhani sio iPad Kama wataka original iPad nenda mlimani City niliwahi kuona wana original brands za iPad ukiingia upande wa nakumat Kama unaenda ofisi za voda tigo iPad shop utaliona kabla ya hizo ofisi
wapi umeona kumeandikwa ipad air 2 kwa laki 3?