Msaada jinsi ya kuhack namba ya mtu,nahisi mchumba angu anacheat na dume jingne

we unayesema GPS za gogle unazijua? uctumie ujanja kxtafumba watanzania. if u dont have experience do not ful people

Umeshinda mkubwa yaani naona na wewe kwa kujiamini umezindua screen name mpya kwa jili ya kujibu comment hii

Lakini ni kweli najua kidogo Google map invoyofanya kazi inatumia IP adress. Na IP address ya simu sio Unique. Internet Ip adress moja inaweza kutumiwa na wateja zaidi hata ya 100. Kuna itu kinaitwa
NAT( Netword Adress Translation) ndio inawezesha hilo. Na bado Kuna Proxy.

Hakuna shida kwa kuonyesha u fool wangu nikiuonyesha na wewe ukauona ukiliza wangu wangu wewe ndio inanisaidia kuelimishwa .

So acha uchoyo mwaga nondo. How does Google map and Google GPS works?


Edson said:
jana nadhani ulinielewa kweye pm mkuu...haya mambo si uchawi...

Haya mkuu hope mleta mada atajua ukweli
 
Kaka, Kina cha maji hakipimwi na miguu yote miwili, inavyoonekana umeingiza miguu yote miwili, hiyo ni hatari sana kwako. Jaribu kujirudi utoe mguu mmoja mmoja. La pili, Kama unaendelea na huo mtindo wa kutafuta mchumba au mkeo anafanya nini, LAZIMA utaaga dunia mapema, htafika umri wa kustaafu, mapenzi ni ku relax, hata hivyo binadamu wote wenye wapenzi kuna kero, usiumize kichwa dogo, tafuta maisha.

Usimfatilie sana, Cha kufanya, muwekee ka utaratibu, unakokaona kanafaa akikakiuka unapiga chini-ila usimfatilie hutaamini macho yako na utajiharibia kaktika kufanya kazi zako za kila siku kwa kuwa utakuwa unawaza sana.

Usipende ku invest kwa mwanamke, hiyo ni sumu, mwanamke wa kweli haombi pesa hata siku moja, Uki invest likely kutoswa na ndiyo maana unataka kumfatilia kujuwa ana mishe mishe sehemu nyingine. Nahisi Utakuwa unawekeza sana.

Siye boss wetu kazini, huwa anatuambia, wale mliooa au kuolewa kabla hamjaenda nyumbani toeni taarifa kuwa mnakwenda, kama kuna mwizi atoroshwe usimuone ili roho isikuume ndoa izidi kudumu.

Ushauri wa bure, achana na hizo software, kama hataki kuwasiliana na wewe, uchune pia na wewe. Kuna watu walisomesha mademu na bado wakatoswa. Mapenzi hayalazimishwi kabisa, usiumize kichwa.
Huu ushauri wako peleka huko MMU hapa tunataka ushauri wa kiTECNO
 
Kaka, Kina cha maji hakipimwi na miguu yote miwili, inavyoonekana umeingiza miguu yote miwili, hiyo ni hatari sana kwako. Jaribu kujirudi utoe mguu mmoja mmoja. La pili, Kama unaendelea na huo mtindo wa kutafuta mchumba au mkeo anafanya nini, LAZIMA utaaga dunia mapema, htafika umri wa kustaafu, mapenzi ni ku relax, hata hivyo binadamu wote wenye wapenzi kuna kero, usiumize kichwa dogo, tafuta maisha.

Usimfatilie sana, Cha kufanya, muwekee ka utaratibu, unakokaona kanafaa akikakiuka unapiga chini-ila usimfatilie hutaamini macho yako na utajiharibia kaktika kufanya kazi zako za kila siku kwa kuwa utakuwa unawaza sana.

Usipende ku invest kwa mwanamke, hiyo ni sumu, mwanamke wa kweli haombi pesa hata siku moja, Uki invest likely kutoswa na ndiyo maana unataka kumfatilia kujuwa ana mishe mishe sehemu nyingine. Nahisi Utakuwa unawekeza sana.

Siye boss wetu kazini, huwa anatuambia, wale mliooa au kuolewa kabla hamjaenda nyumbani toeni taarifa kuwa mnakwenda, kama kuna mwizi atoroshwe usimuone ili roho isikuume ndoa izidi kudumu.

Ushauri wa bure, achana na hizo software, kama hataki kuwasiliana na wewe, uchune pia na wewe. Kuna watu walisomesha mademu na bado wakatoswa. Mapenzi hayalazimishwi kabisa, usiumize kichwa.

Nakubaliana na wewe 100%. Siku njema!
 
Kuna software inaitwa mobile phone spy software hiyo uwa inatumika katika kum-spy mtu wako wa karibu mf. Mke au mume na hata mtoto wako. Wewe google tu utaipata.

nimejaribu kuigoogle imekuja lakini jinsi ya kuendelea ndio issue
 
How to Spy on Cell Phones


Is Someone Holding Secrets from You?
Reveal them All with the World’s Best Cell Phone Spy Software!


Today, there exists hundreds of cell phone spy softwares on the market, where many of them are nothing more than a crap. Some are good and only a few of them are the best. Also, each SpyPhone software has a different set of features and operating format which makes it hard for novice users (perhaps like you) to make the right choice so as to fit their spying needs.So, in order to help our readers to find the best spy software, I have decided to give a thorough review of the Top 2 Best Selling SpyPhone softwares on the market.
1. Spy Phone GOLD – (TESTED)


2. Mobile Spy – (TESTED)


cell-phone-spy-software.gif


SpyPhone GOLD and Mobile Spy are the current leaders in the market which are used by thousands across the globe to spy on cheating spouse, monitor employees and keep an eye on their teens. Here is a complete review of these two products.
1. Spy Phone GOLD Review:


SpyPhone_Gold.jpg
Spy Phone GOLD is is the No.1 spy software on the market which turns any compatible cell phone into a Spy Phone within minutes. It offers every feature that a true cell phone spy software should have. Hence most people choose Spy Phone GOLD for their cell phone spying needs.

How Cell Phone Spying Works?


After your purchase, you can directly download the installation module onto the target cell phone. Installation takes only a few minutes. After installation, each activity on the target phone is recorded and uploaded onto the SpyPhone servers. You can login to your online account from your PC to view the logs at any time. The logs contain Text messages, Contacts List, Call History, GPS Locations and many such information.Call interception: When the target cell phone is on the conversation, you will receive a secret SMS notification on your phone. At this time you can call the target phone to listen to the live conversation going on. All this process takes place in complete stealth mode and is 100% undetectable!
Spy Phone Top Features:
  • Call Interception – Listen to the actual calls LIVE on the target cell phone
  • Environment Listening - Make a spy call to the target cell phone running SPY PHONE and listen in to the phone’s surroundings.
  • SMS Logging – Records both incoming & outgoing SMS
  • SIM Change Notification – Get instant notification via SMS when the target cell phone changes it’s SIM
  • Remote Control – Send secret SMS to the target phone to control all functions
  • Spy from any location across the world
  • 100% Undetectable
Compatible Cell Phones:Spy Phone GOLD is fully compatible with the following mobile phones
  1. Nokia, LG, Samsung and Sony Ericsson Phones
  2. BlackBerry Phones
  3. Apple iPhones
  4. Windows Mobile Phones
Click Here to Download Spy Phone GOLD



2. Mobile Spy Review:


Mobile_Spy.jpg
Although Mobile Spy is not as feature rich as Spy Phone GOLD, it offers a good bunch of features that every spy software should have. It is a very good choice for those who are looking for a mid-range spy software at an affordable price.

How it Works?
The working of Mobile Spy is exactly same as that of Spy Phone GOLD. However Mobile Spy lacks the feature of call interception.
Mobile Spy Features
Mobile Spy offers every common feature such as recording Call Logs, SMS, GPS Locations, IM Conversations, Web Activities, Emails etc. It is very similar to Spy Phone but lacks the vital features like call recording and call interception. Thus with Mobile Spy you cannot listen to live calls on the target cell phone.
Compatible Cell phones: Mobile Spy is compatible with Nokia, Samsung, LG, Apple iPhones, Blackberry, Android and Windows Mobile Phones.You can download Mobile Spy from the following link
Click Here Download Mobile Spy


Here is a quick comparison between Spy Phone GOLD and Mobile Spy
SpyPhone-vs-MobileSpy.jpg



Which Cell Phone Spy Software to Choose?


If you want a high-end spy software with top features like call interception and call recording then Spy Phone GOLD is the right choice. Or else, if you’re looking for a mid-range spy software with basic features at an affordable price then go for Mobile Spy. So what are you waiting for? Go grab either of the two from the following links now:
1. Click Here to Download Spy Phone GOLD


2. Click Here to Download Mobile Spy
 
naombeni mnisaidie,huyu mwanamke nahisi ananzunguka kwasababu simu yake iko busy sana mda mwingi na nikimpigia simu hapokei ni siku ya 3 leo sina mawasiliano naye.nataka kuhack simu yake ili nijue anachat na nani mda wote na wanaongea nini.je kuna njia ya kuhack hiyo namba au mpaka niende kwenye kampuni husika?

Bila shaka umeshakula ndiyo maana unaonekana kuwa na wivu naye.

Sasa, zingatia kuwa huyu siyo mkeo ni mchumba wako tu kama ulivyoeleza. Baada ya kuona mapigo yako amegundua kuwa wewe si lolote wala si chochote, yuko busy na wanaume wengine akiangalia ni yupi atamfaa maishani. Wewe usipoteze muda wako kutafuta jinsi ya ku-hack simu yake, tafuta wako anayekupenda kwa dhati kisha tulia naye. Huyu hafai kuwa mke wako, endapo utaamua kumuoa magonjwa yafuatayo yataambatana nawe: Kisukari, Shinikizo la damu, Kiharusi, STDs pamoja na UKIMWI.

Kama una masikio ya kusikilia, sikia!
 
naombeni mnisaidie,huyu mwanamke nahisi ananzunguka kwasababu simu yake iko busy sana mda mwingi na nikimpigia simu hapokei ni siku ya 3 leo sina mawasiliano naye.nataka kuhack simu yake ili nijue anachat na nani mda wote na wanaongea nini.je kuna njia ya kuhack hiyo namba au mpaka niende kwenye kampuni husika?

Mzee hiyo makitu ipo kwa sasa,LAKINI NI KINYUME NA SHERIA, sharti uinstall kwenye simu zote mbili, unaemhack na kwenye simu yako,then kila kitu unakipata live on time iwe sms,voice call,email na unaweza uka mtrack hadi sehemu alipo.NO SECURITY ANY MORE.
Angalizo kwa watu wanaopenda kuacha bluetooth za simu zao ON,please switch off soon watu wanaweza wakaaccess simu yako na kuchukua contact zako muhimu au ukawa unawalipia bill za simu zao,kuna watu wanalalamika mitandao inakula hela kumbe pengine kuna mtu anatumia simu yako kuwasiliana pasipo wewe kujua.
 
Mkuu haina haja ya ku~hack phone yake cha msingi tafuta hela,ukiwa na hela utawakimbia wewe,game yenyewe inaonesha upigi fresh lazima ukimbiwe,TAFUTA MAWEEE.
 
nimesaidia watu 5 ..jana kuna mtu kaja ofcn kwangu wa hapa hapa kazini kwangu akaniomba nimtrak waife wake ...akanipa namba ya wife wke nikaiweka kenye software yangu.....kabla hajaja kwangu alimpigia mkewe na mkewe akamwambia kuwa yuko njian anatoka moshi kwenda dar....sasa wakati mimi naweka namba ile kwenye software yangu google earth ikaonyesha mwanamke yuko dar sinza karibu na shell ya big born..kwa kutumia gps na google earth kila kitu kikawa kinaonyeshwa kwenye screen.....jamaa akaona ..akapiga simu kwa mkewe mkewe akasema ndo nakaribia kufika mombo....hapo hapo jamaa akamwambi mkewe na hapo sinza big born unafanya nini? mke akakata simu...baadae nikaeingi kwemye inbox ya mkewe jamaa hakuamini meseji alizokuwa anazisoma....kumbe moshi alitoka jmosi..presha ilimpanda jana na yuko hosp...so ukifanya kitu hii lazima uwe na kifua...


Mkuu hako ka-software kanauzwa wapi? Nakahitaji mimi hako!
 
Nawashukuru sana kwa taarifa hiyo muhimu kama pana mtu anayeweza kuipata hiyo software na ikwa effective na mimi pia niko tayari kuinunua
 
Back
Top Bottom