Simu ya rafiki angu kasave namba moja tu ya mke wake

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Hiki ni kitu cha kawaida kweli au jamaa kachanganyikiwa, nikimpigia simu kila siku anauliza wewe Nani? Hii hali nikaona ni dharau tena kubwa Sanaa Nikajaribu kumuuliza kwann hausevu namba yangu akasema hataki kuhifadhi namba yoyote Ile zaidi ya namba ya mke wake tu

Leo nimehakiki ni kweli, nimechukua simu yake nikamwambia aniazime nimpigie mtu yangu imekata salio, leo nione Je kweli huwa hasevu namba za watu? Kuja kucheki contact nimekuta moja tu kasave my 'dream" nikajua ni wife

Ukweli ni kuwa hana simu mbili ni hii hii Sasa najiuliza kama hasevu namba mbona anaishi maisha magumu sana maana Kuna mda anapata shida ya kuongea na wengine Sasa anafanyaje??
 
Hiki ni kitu cha kawaida kweli au jamaa kachanganyikiwa, nikimpigia simu kila siku anauliza wewe Nani? Hii hali nikaona ni dharau tena kubwa Sanaa Nikajaribu kumuuliza kwann hausevu namba yangu akasema hataki kuhifadhi namba yoyote Ile kama hasevu namba mbona anaishi maisha magumu sana maana Kuna mda anapata shida ya kuongea na wengine Sasa anafanyaje??
Me nlikutana na Mwamba ana Smartphone kabisa na ana Contact mbili tu na ndio watu anawasiliana nao siku zote
1.Baba
na
2.Mama
Kwisha kazi.
 
Naweza sema inawezekana kabisa, Pengine hana Ndugu wa karibu na kama anao basi hawana mahusiano mazuri.
Na siku zote ukitoa Mke watu wengine wa Muhimu huwa ni ndugu wa Familia moja.

Hayo Maisha yanawezekana kama wewe ni mkulima au mfugaji mwenye Msongo wa Mawazo. ila kwa Wazee wa michongo tunawahitaji watu ili tutengeneze pesa.

Binafsi huwa nawasiliana saaana na mtu mmoja "jinsia jirani" The rest ni michongo tu na salam za once per month.
 
Kuna namba za watu for sure tunazo hata hawana michongo kabisa wala ushauri wa maana wametawaliwa na ubinafsi unakuta wanakukumbuka wakiwa na shida zao tu, haina haja ya kua na rafiki au contact ya design hiyo..
 
Hata me namuunga mkono sio ujinga ila ni the way mtu alivyo na watu hasa marafk sio wa kusave namba zao maana hawana maana kabsa
 
Back
Top Bottom