tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Wakuu habari za leo...
Nina kompyuta ambayo niliagiza toka China aina ya Lenovo na inatumia Window XP. Kinachonipa shida ni jinsi ya kubadilisha Lugha.
Nimejaribu kwenda
control panel>language and regional option>language>install other languages, ila hola kwani kila niki-apply inaniambia kuna mafile yanamiss.
Naomba mnijuze ni mafaili gani natakiwa kudownload ili lugha ibadilike.
Naomba msaada wenu kabla sijafikia option ya mwisho ambayo ni ku-format.