msaada jamani

Pampula jr

JF-Expert Member
May 2, 2013
606
191
habari za jioni wakuu naomba msaada namna ya kufungua akaunti skype maana nimejaribu ila inashindikana na ninatumia nokia e 63
 
Nenda Skype.com kwenye computer kufungua account. Uwezo wa kutumia Skype kwenye simu yako inategemea kama kuna app ya Skype kwa ajili ya simu yako.
 
Ndugu zangu natumia tecno p3 na nime instal hii app ya jamii forum nashindwa kuona picha zinazotumwa na wanajamii nsaidien jman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom