Msaada jamani

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Wadau mamabo vipi ?
Natafuta Laptop LCD INVERTER (inayosababisha mwanga ktk kioo cha laptop).

Nina Laptop imeleta shida haitoi mwanga kabisa nimekuta fuse mojawapo ya lcd inverter imekatika kibaya zaidi kuna kifaa kimevunjika
6318947195085536002_ACLCDIADA540I.jpg
sasa kama yeyote wa mambo haya naomba anisaidie nipata inverte mpya au used na
specification za inverter yangu:
input volt = 5v
inch 12 screen.

Jamani hata kama kuna mtu mwenye njia mbadala ya kutatua hilo tatizo nitashukuru.
its my only laptop.
Nawakilisha
 
Mafundi wanao-repair computer wanaweza kutatua tatizo lako. They can even replace the whole screen when needed.
Wadau hapa watakuelekeza wapi uende kwa mafundi walio na reputation nzuri kwenye repair za laptops.
 
Thanks nimepata tayari ile ile of the same type.
Asanteni sana wadau ambao mmeni pm.
 
Thanks nimepata tayari ile ile of the same type.
Asanteni sana wadau ambao mmeni pm.

Ni vema kama umepata.
Je shida yako imeisha? Laptop yako inapata mwanga katika LCD yake?
Ni hayo tu mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom