MSAADA LAPTOP HAITAKI KUWAKA

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
488
184
Jamani wanajamvi naomba kama kuna mwenye uelewa na hii kitu anisaidie kutatua tatizo.

Laptop ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lakini ghafla screen ikawa ya rangi ya blue then ikasema kuna tatizo inalidhughulikia chini kulikuwa na asilimia zinapanda yani ilianza kumi then 15 ilipofika 20 asilimia ikazima ghafla kioo kikaonesha weusi ndo signal yoyote ile then ndo kama mnavyoona hapa chini

Aina Dell E5420
1551897501774.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom