Msaada: Inverter ya Sony Vaio screen

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Guys A.A, Laptop yangu (Sony vaio) iliingia maji, nikaipelekeka kwa fundi akaikausha na ikawa ukiiwasha inawaka vizuri sema kioo hakionyeshi Mwanga japo screen ina display but without light,,,Fundi akanambia inahitajika inverter mpya, So wap naweza kupata msaada wa hichi kifaa ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom