Msaada Iphone

Bushloiaz

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
721
806
Wakubwa habar zenu,ninaombeni msaada wenu jaman,ninatumia iphone 3GS,lakini tangu jana hai display chochote nikipiga namba ynagu inaita lakini kwenye screen hakutokei lolote,ndio imekufa au kuna kitu naweza fanya ili irudi kuwa sawa,Natangulza shukrani zangu.
 
Jaribu kui-restart kwa kubonyeza sehemu ya kuzimia kikawaida (top right) na mouse yako ( bottom center) kwa wakati mmoja
 
Asanteni wazee kwa msaada bahati nzuri niligoogle hili tatizo nimepata solution tayari,kuirestart ni sawa na ushauri alionipa Gaijin hapo
 
karibu mkuu next time jaribu kugoogle kwanza ukikosa ndio uje hapa jamvini
 
Hiyo simu inakuwa kwenye boot recovery mode next time ukiona inafanya hivyo do the same.
 
Drphone asante nimekuelewa na nimegundua matatizo mengi ya Iphone yasharipotiwa tayari,Omary thanx brother,Jigsaw ilinunuliwa uk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom