Msaada: Fm radio ktk Blackberry curve

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau vipi naweza kusikiliza fm radio ktk BB curve 8520?

Na inawezekana kusikiliza bila internet?

Natanguliza shukrani
 
Labda jaribu kutafuta application ya radio u download uweke kwenye BB yako!
 
Dah hebu ngoja na mimi niwasubili wajuvi wa mambo, maana hata mimi nakeleka tunanunuwa hizi BB kwa gharama kubwa lakini zinakosa service ndogo kabisa kama redio.
 
umeona ee???
 
Una uwezo wa kusikiliza Radio online kwenye BB yako lakini tambua kuwa gharama hazito-involve subscription ya Blackberry Internet Service ambayo umeifanya. Huwezi kusikiliza Radio online kama huna intaneti.
 
kama ni hivyo kwa nini simu za bb zina gharama, na hazina service nzuri
 
BB ni nzuri sana endapo ina facilitate shughuli zako nyingi unazozifanya hasa kwenye mail exchange na Instant Messaging.
Binafsi BB naipenda sana..nikitoka kapa naenda HTC.
 
Dah hebu ngoja na mimi niwasubili wajuvi wa mambo, maana hata mimi nakeleka tunanunuwa hizi BB kwa gharama kubwa lakini zinakosa service ndogo kabisa kama redio.
leading simu za gharama ni iphones , blackberry zimebaki jina tu!
 
Mkuu si ununue mchina? au Radio Ndogo?? . Simu ni simu na redio ni redio.
Siyo lazima uchangie kama hauna wazo mbadala, hapa tunaelimishana huenda kuna software za kudownload ukapata redio kama watu wanavyoweka Tv card kwenye Computer na hakuna anayesema Tv ni Tv na Computer ni Computer. kama unaona uko sahii ni kwa nini simu ziwe na Media player? mbona husemi kwamba watu wanunuwe ipod? acha utoto.
 
Tujifunze kununua vitu kutokana na matumizi yake. Ulipokuwa unanunua Blackberry hukulijua hilo?. Any way Download Nobex Radio - Download itawafaa. Good day.
 
Una uwezo wa kusikiliza Radio online kwenye BB yako lakini tambua kuwa gharama hazito-involve subscription ya Blackberry Internet Service ambayo umeifanya.
naomba ufafanuzi zaidi mkuu.

Nijuavyo mimi almost application zota za bb zinatumia BIS
 
Download TuneIn Radio hii itakupatia zaidi ya radio 100 zikiwemo radio zaidi ya 5 za Tanzania.Mimi nnasikiliza Clouds FM kwa kutumia hii popote nilipo hapa Duniani
 
Download TuneIn Radio hii itakupatia zaidi ya radio 100 zikiwemo radio zaidi ya 5 za Tanzania.Mimi nnasikiliza Clouds FM kwa kutumia hii popote nilipo hapa Duniani
 
kama ni hivyo kwa nini simu za bb zina gharama, na hazina service nzuri

Siyo kweli! Ya kwangu ina service mfano Biblia, diary, alarm, yahoo messenger, facebook, yahoo tube na mambo mengi kiasi kwamba najisikia raha na kuionea huruma shingo kutokana na kuinama saa zote! Huwa inanisaidia barabarani na foleni hainichoshi,
 
Back
Top Bottom