Nikuulize swali hapo, Ni hard disk ndogo ya Laptop au kubwa? je iko detected? kama iko detected je ukiifungua inakupa msg gani? je kuna indicator yoyote inakuonyesha kuwa inapokea power?
kama haiwi detected itakuwa imefanya crack kwenye circuit yake ilioshikiliwa na cable,
Je,kuna any light kwenye external inawaka?pili fungua ndani, kuna interface angalia iko ok au loose na mwisho rehot interface inayoconnect hdd
addicting games, btjunkie, games
light ipo kwenye harddisk na badala ya kuchezacheza inawaka continuously ila ndo haisomi, nifanyaje mkuu?
mkuu asante kwa namba, ngoja niwacheki nitakupa feedback cha muhimu zaidi ni hizi data zangu hata nizipate