MSAADA: BLACKBERRY VS.ipHONE VS. HTC

For iphone4 --- Kama una ka-saving.. invest kwa factory unlocked iphone4..ziko nyingi with no regrets! (not sure kama zinapatikana TZ).
 
sasa mkuu niliyokua nikiyasema nadhani sasa utakuwa umeamini hauwezi kujailbreak au kuunlock for free of charge bila ya kununua baadhi ya software kutoka jailbreakme na ni vitu vidogo sana vinavyowasha simu ambavyo hizo site za free wameshindwa kuviweka,wazungu ni wajanja sana na wanajua kila wanachokifanya.
acha kupotosha watu wewe, soma tutorials vizuri kwenye internet. Hiyo jailbreakme haipo hata kwenye top hackers wa iphone wanaotambulika,,,kuna kina iphone dev. Team , ziphone.org, iphone hacks wataalamu wa hayo mambo na tutorials zao ni bure kabisa
 
Ingia kwenye site ya iphone hacks kama haujawakuta hao jailbreakme na software zao.
 
Ingia kwenye site ya iphone hacks kama haujawakuta hao jailbreakme na software zao.
ipo ndio kwasababu ni mojawapo ya njia za kujailbreak, ila ina matatizo mengi mara bootlogo problems, cydia installation kuishia 70% kwenye Ipad na errors kibao. ndo maana wamependekeza kutumia Spirit, Pwnage tool, greenpoinson, snowbreeze na hasahasa rednosw..soma tutorials tofauti tofauti mkuu.
 
Kweli wewe unaandika vitu ambavyo huna ufahamu navyo hiyo site ya jailbreakme ina software za jailbreak ambazo ni latest nazo ni hizo hizo za redsnow,kwenye tutorial hauwezi kukuta zilizo latest angalia kama utakuta ios 5 beta kwenye tutorial yeyote lakini hawa jailbreak me wanazo software za jailbreak ios 5 beta nazo ni hizo hizo redsnow na greenpoison ndio maana ukiingia kwenye hizi site ulizotaja lazima utakuta tangazo la jailbreame unafikiri ni kwanini?
 
jamanii mbona jailbreaking and unlocking is quite simple no need for matapeli kama sapna
fr jailbreaking jus get some few tools from the net download the ipsw for your phone download a jailbreaking software zipo nyingi kama redsnow,snowbreeze au jailbreakme its soooo simple kama vip nenda youtube unapata video tutorial kabisaaaaaaa....dont go to sapnaaa
 
Kweli wewe unaandika vitu ambavyo huna ufahamu navyo hiyo site ya jailbreakme ina software za jailbreak ambazo ni latest nazo ni hizo hizo za redsnow,kwenye tutorial hauwezi kukuta zilizo latest angalia kama utakuta ios 5 beta kwenye tutorial yeyote lakini hawa jailbreak me wanazo software za jailbreak ios 5 beta nazo ni hizo hizo redsnow na greenpoison ndio maana ukiingia kwenye hizi site ulizotaja lazima utakuta tangazo la jailbreame unafikiri ni kwanini?
mpaka hapa nimeamini kua Internet haikomboi watu design yenu..hauwezi ukawa mbishi kiasi hicho :pound::pound:

haya, hii hapa untethered jailbreak ya ios 5 beta 1 kwa snowbreeze 2.8 (bila Kuhusisha site yako ya jailbreak me)..
http://www.limera1n.cc/2011/06/sn0wbreeze-28-beta-3-released-to.html ,,

iOS 5 Untethered Jailbreak - iPhone 3GS - Sn0wbreeze 2.8 b2 for Windows - Jailbreak 4.3.5 / 5.1 / 4.3.1 / 4.3.2 / 4.3.3 / 4.3.4 iOS 5 Untethered - iPad 2 Jailbreak

How To Jailbreak iOS 5 Beta On Windows Using Sn0wbreeze 2.8 [Tutorial] | Redmond Pie

..na viambatanisho vyote pamoja na tutorial bure kbsa.

hii hapa untethered jailbreak ya ios 5 beta 4 kwa redsnow 0.9.8b4 (bila kuhusisha site yako ya jailbreak me)

Jailbreak iOS 5 beta 4 - iPhone, iPod Touch, iPad - Redsn0w 0.9.8b4 - Jailbreak 4.3.5 / 5.1 / 4.3.1 / 4.3.2 / 4.3.3 / 4.3.4 iOS 5 Untethered - iPad 2 Jailbreak
na kila kitu kinachohitajika

kwani wewe wa mkoa gani mkuu?? :smow::smow:
 
mpaka hapa nimeamini kua Internet haikomboi watu design yenu..hauwezi ukawa mbishi kiasi hicho :pound::pound:

haya, hii hapa untethered jailbreak ya ios 5 beta 1 kwa snowbreeze 2.8 (bila Kuhusisha site yako ya jailbreak me)..
Sn0wbreeze 2.8 Beta 3 Released To Jailbreak iOS 5 Beta 2 On Windows - Jailbreak 4.3.5 / 5.1 / 4.3.1 / 4.3.2 / 4.3.3 / 4.3.4 iOS 5 Untethered - iPad 2 Jailbreak ,,

iOS 5 Untethered Jailbreak - iPhone 3GS - Sn0wbreeze 2.8 b2 for Windows - Jailbreak 4.3.5 / 5.1 / 4.3.1 / 4.3.2 / 4.3.3 / 4.3.4 iOS 5 Untethered - iPad 2 Jailbreak

How To Jailbreak iOS 5 Beta On Windows Using Sn0wbreeze 2.8 [Tutorial] | Redmond Pie

..na viambatanisho vyote pamoja na tutorial bure kbsa.

hii hapa untethered jailbreak ya ios 5 beta 4 kwa redsnow 0.9.8b4 (bila kuhusisha site yako ya jailbreak me)

Jailbreak iOS 5 beta 4 - iPhone, iPod Touch, iPad - Redsn0w 0.9.8b4 - Jailbreak 4.3.5 / 5.1 / 4.3.1 / 4.3.2 / 4.3.3 / 4.3.4 iOS 5 Untethered - iPad 2 Jailbreak
na kila kitu kinachohitajika

kwani wewe wa mkoa gani mkuu?? :smow::smow:
Mkuu mimi nimeanza kutumia hivi vifaa vya apple muda mrefu kidogo kuanzia nilipokuwa ughaibuni mpaka niliporejea so nafahamu vizuri matatizo yake pamoja na kuyatatua,kuna iphone zinazotumia mtandao wa Verizon wa Marekani ni ngumu sana kuijailbreak kwa kutumia hizo tuturial,hizo tutorial wanaelekeza software za kutumia lakini huwa hawaweki zote mimi ilinichukua one week kujailbreak iphone 3gs nilikuwa natumia hizo tutorila lakini ilikuwa inakuja error number 1015 kwenye itunes na simu inawaka ikifika kwenye logo ya apple inakwama,ikanibidi niingie jailbreak me nikadownload hiyo hiyo redsnow ilichukua 15 min kuifungua ile simu,ilikuwa ni ya kampuni ya verizon unalifahamu hilo mkuu hizo tutorial hazioneshi makampuni ya simu ni utofauti wao kampuni kama ya orange na spring ziko tofauti na verizon
 
hata mimi nasapoti wenzangu, jailbreaking ni vry simple wala haiitaji kununua tool yoyote kutoka hiyo site ya jailbreakme, just follow turtorials tena kwa makini hutapata shida hata chembe,kama ukienda op then wewe ndo utakuwa umejiletea matatizo, wanaouza wanazingua tu,yani hizo no advertisements tu wakuvutie ukabrowse site yao, hawana jipya, jailbreak its all free,hackers karibu wote wanatoa vitu vyao free, sasa itakuwa nini maana na hacking kama watauza?
 
Sawa sawa mkuu Dacta, huyo mwenzetu naona kwanza hana ujuzi alafu kwanza hata Iphone 3GS imemchkua wiki nzima kujailbreak, watu wameanza kutumia Iphone 2G mpaka sasa 4 wamekaa kimya hawana neno,,pili unasababisha 2chafue post ya mzeewaloliondo ambae ametaka tu kujua tofauti kati ya BlackBerry, Iphone na HTC na istoshe ameelekezwa na wakuu wengi japokuwa mgumu kuelewa"...kasome tuition kama unaona mawazo ya JF ya uongo @ OSABA
 
Back
Top Bottom