MSAADA: BLACKBERRY VS.ipHONE VS. HTC

mkuu mbona kila mtu nnaemfahamu mimi mwenye Iphone anawezafanya hivyo, sio ishu sana ngoja nipost namna ya kujailbreak hapa..
Mkuu wacha kumpotosha mkuu issue ya kujailbreak iphone hasa iphone 4 sio rahisi kama unavyofikiria ndio maana sapna wanajailbreak simu moja kuanzia sh 60,000 hadi laki moja,simu ikiwa imelockiwa na kampuni kama Verizon sio rahisi kuijailbreak kama unavyofikiria coz hawa jamaa kuna chip huwa wanaifunga kwenye hizi iphone thats why software za kujailbreak zinakuwa ni tofauti na za mitandao mingine kama vile orange,hizo tutorial zinazotolewa kwenye google na hizo software hazijakamilika unaweza ukazidownload ukafuata kama kawaida lakini ikishamaliza lazima ije error namba 1015 inayohusika na kuganda kwa logo ya apple,so kuna program ambayo ni ndogo sana ya kumaliza hilo tatizohawa jamaa hata siku moja hawaiweki bure kwenye mtandao kama zingine bali inauzwa kuanziia dola 20 na kuendelea,ilinichukua wiki moja kujailbreak iphone 3gs na baadae ikanibidi ninunue hii software kwa dola 25 lakini nilifungulia simu tatu na ipod touch 2 na hadi leo zinafanya kazi vizuri tu.Nasema haya nikiwwa mwenye idea ya hivi vifaa vya apple na najua ubovu wake uko wapi,yaani ukikosea kidogo tu basi kama ni simu utaiweka kabatini huku unaipenda .
 
ivi,kwa hapa bongo ku jailbreak(chakachua)iphone inawezekana ili usilimitiwe kudownload only from applestore///?
Mkuu jailbreak ina maana ya kuwa hiyo simu itumie applications zingine zaidi ya apple ambayo inaitwa Cydia.
 
Labda nichangie machache kati ya mengi kwenye uzi huu. kwanza kabisa suali la msingi ni simu gani kati ya HTC, iPhone na BB. Suali lako linachanganya kwa sababu zifuatazo;
  • Balckberry na iPhone si simu ambazo zenye we ni plartform moja (yaani zina OS zake iOS kwa iPhone na Blackberry OS kwa BB)
  • HTC hawana plartfom maalum wao wanacheza kwenye Wwindows Phone 7 na Android kwa sasa na wanafanya customisation ya hali ya juu na hasa kwenye Android (kwenye WP7 wamefungua hub yao tu)
Labda swali lako lingekuwa kwa mfano kati ya iPhone 4, HTC Sensation au HTC Evo 3D na Blackberry Torch 9800 ni ipi bora basi jibu lingekuwa rahisi kidogo.Wengi ambao hujibu maswali kama haya huwa wanapendelea simu wanayoitumia badala ya kueleza ubora na udhaifu wa simu hizi.Sasa mkuu hapa kwa maoni yangu ni kwamba simu ipi ya kutumia inategemea matumizi yako, rika unalotoka na shughuli unazofanya. Kwa hiyo wapo ambao kwao BB ndio maisha, na wako ambao iphone haina mpinzani na wako ambao HTC ni kiboko.Kwa maoni yangu ukiwa ni mtu ambaye una marafiki wengi wenye BB na BB Mesenger unadhani kuwa ni kitu kitakachokuvutia basi Blackberry ni simu ambayo inakufaa. Lakini naomba nikutahadharishe kwamba BB si simu zenye specs za hali ya juu kama top end HTCs au iPhone 4.Ukiwa ni mtu mwenye kutaka kutumia simu kama kufanya kila linalowezekana kufanywa kwenye simu na hutasubiri kuchakachua upate apps za bure basi iPhone 4 ndio simu inayokufaa. Appstore ina apps 425,000 kuanzia watu wa dini hadi watu dhambi unachotaka ambacho kinawezekana kuwa kwenye simu basi utapata.Tahadhari kubwa ninayoweza kukupa kwenye iPhone ni kwamba "mbio za kufukuzana za paka na panya" kwenye platform hii. Kitu ambacho kimezungumziwa kwa details kwenye uzi huu, Jailbreaking. Jambo moja ambalo hukuambiwa ni kwamba kila unapojailbreak Apple wakitoa update basi inabidi ujailbreak tena, si jambo ambalo utafanya mara moja halafu basi kama ambavyo simu nyingine uki-unlock mara moja yamekwisha. Pia wakati mara nyingi kunakuwa na gap ya muda baina ya update ya Apple na Jailbreak ya hackers. kwa hiyo inabidi ukubali kuwa nyuma mpaka hackers watakapo-release njia mpya ya kujailbreak firmware mpya. Ni kitu ambacho kwa wengine ni headache na kwa wengine ni ku-enjoy maisha kwa hiyo inategemea wewe ni mtu wa aina gani. Mbali ya Apps iPhone ni simu ambayo ina simple User interface unahitaji siku kadhaa tu kuwa bingwa wa kitumia. Kama utaamua iPhone ningekushauri ununue Factory unlocked, kuuliza kwako suala hili ndiko kunanifanya nikupe ushauri huu.HTC hapa kidogo pana kazi kwani HTC ziko nyingi mno na zinatofautiana sana. Sijui wewe mkono wako unaweza kufika wapi katika masuala ya bei lakini kama utaweza kupata Evo 3D au Sensation, ni simu ambazo ziko poa, otherwise HTC yoyote ambayo ina-run Android 2.3 Gingerbread kwenda mbele. Froyo au 2.1 kidogo zinaanza kuwa nyuma ya wakati na upuuzi wa Android ziko too customised kwa hiyo sio kwamba Google wakitoa update basi inafaa kwa simu zote la.Android ni second best kwa apps na unaweza sana ku-customise simu yako na hasa kama ni mpenzi wa widgets. Matatizo ya widgets ni battery hungry kwa hiyo pia uwe makini ingawa unaweza ku-tweak settings kupunguza matumizi ya battery lakini pia maana yake ni kwamba hizo widgets zenyewe zitakuwa hazina maana sana.Kwa upande wa HTC za Windows Phone 7 ni kama vile HTC Mozart na HTC HD7 ni simu nzuri kiasi lakini WP7 ni information based rather than apps based. yaani wao wanatumia utaratibu wa hubs badala ya apps katika utendaji kazi wa simu yako ni utaratibu mzuri kiasi na una tofauti. Tayari kuna update ya WP7 ambayo inaitwa Mango itakuwa na 500 more functionalities, kwa kiasi fulani ni simu ambayo unaweza kufurahishwa nayo na hasa ukiwa bado hujatumia iPhone au Android, kwa vile ukizoea apps inakuwa shida kuhamia kwenye utaratibu mwingine. Maoni yangu binafsi simu kumi bora kabisa kwa sasa ni:-
  1. Samsung Galaxy S2
  2. iPhone 4
  3. HTC Evo 3D
  4. LG Optimus 3D
  5. HTC Sensation
  6. Blackberry Bold 9900 (iko njiani bado haijatoka)
  7. Sony Ericsson Xperia Arc
  8. Motorola Atrix (Ikiwa na laptop dock yake)
  9. Google Nexus S
  10. HTC Desire HD
Bahati mbaya hakuna Windows phone 7 hata moja ambayo naona inastahiki kuingia kwenye kumi bora. Naomba nikutahadharishe kuwa 10 bora ni maoni binafsi mwingine anaweza kuwa na 10 bora tofauti kabisa na hizi.
wamechakachua..... kitufe chs SENKYUUU.... NINGEKUGONGEA!!!!!!!!!
 
Mkuu kama uko serious ni PM
naona upo kibiashara zaidi, kama una njia yakwako mwenyewe ya kuJailbreak si upost hapa kwenye forum kila mtu aione,,angalia kichwa cha habari hapo juu mkuu amesistiza asaidiwe sio utangaze biashara yako kwenye post yake..ndio maana nikaandika kama kapata tatizo na Iphone yake baada ya kujaribu maelezo aseme asaidiwe zaidi, hapa nilipo natumia Iphone 4 na sijalipa chochote Sapna waiJailbreak!!
 
naona upo kibiashara zaidi, kama una njia yakwako mwenyewe ya kuJailbreak si upost hapa kwenye forum kila mtu aione,,angalia kichwa cha habari hapo juu mkuu amesistiza asaidiwe sio utangaze biashara yako kwenye post yake..ndio maana nikaandika kama kapata tatizo na Iphone yake baada ya kujaribu maelezo aseme asaidiwe zaidi, hapa nilipo natumia Iphone 4 na sijalipa chochote Sapna waiJailbreak!!
Mkuu i don do any kind of business,we si unajua jinsi ya kujailbreak hizo simu software zinapaticana JailbreakMe 3.0 hawa jamaa ni wajanja sana kwanza hauwezi kuingia kwenye members kama wewe sio mwanachama na kuwa mwanachama unatakiwa ulipa dola 25 hadi 30 na hauwezi kutumia hizo software zao kama sio mwanachama coz naweza nikaweka link ikawa kazi bure kwa sababu hawa jamaa wako makini sana sasa wewe unafikiri mimi nitamsaidia vipi huyu mkuu ndio maana nikamwambia anipm ilinijue nitamsaidia vipi kama hauniamini ingia hiyo site ujionee mwenyewe na hiyo iphone 4 yako ilikuwa iko free kwa mitandao yote,kuna iphone ambazo hata hao Sapna wenyewe wanazishindwa ambazo zillitumika na mtandao wa Verizon
 
wakuu mbona Iphone 4 inaJailbreakika kirahisi tu, yangu nimetumia greenpoison na nimeJailbreak successfully.
lakini maranyingi huwa wakitoa Firmware mpya lazima uiJailbreak tena...
 
Mkuu i don do any kind of business,we si unajua jinsi ya kujailbreak hizo simu software zinapaticana JailbreakMe 3.0 hawa jamaa ni wajanja sana kwanza hauwezi kuingia kwenye members kama wewe sio mwanachama na kuwa mwanachama unatakiwa ulipa dola 25 hadi 30 na hauwezi kutumia hizo software zao kama sio mwanachama coz naweza nikaweka link ikawa kazi bure kwa sababu hawa jamaa wako makini sana sasa wewe unafikiri mimi nitamsaidia vipi huyu mkuu ndio maana nikamwambia anipm ilinijue nitamsaidia vipi kama hauniamini ingia hiyo site ujionee mwenyewe na hiyo iphone 4 yako ilikuwa iko free kwa mitandao yote,kuna iphone ambazo hata hao Sapna wenyewe wanazishindwa ambazo zillitumika na mtandao wa Verizon
software zipo sehem nyingi tu online tena bure kabisa ustake kutuibia sio jailbreakme pekeyake, zipo iphoneforums.net, ipmart-forums.com, noeman.org/gsm, forum.gsmhosting.com, idownloadblog.com, iphonehacks.com na zingine nyingi tu hata ukiGoogle njia rahisi zaidi. labda kama unavyosema za verizon ni ngumu kuJailbreak ila bado sijakutana na inayogoma.hivi vitu vipo bure kabisa na maelezo yake tele kwenye net pamoja na reviews za watu waliokwishajaribu.
 
mkuu kwenda Sapna kuUnlock/kuJailbreak inaweza kukugharimu 50-80Thousand za bure wakati mambo yote unawezafanya mwenyewe nyumbani..

kwanza kabisa ukitaka kuEnjoy free cracked applications za Iphone lazima either uJailbreak simu yako au Uiwezeshe kuInstal cracked applications kwa kutumia system application inayoitwa 'Appsync' inayopatikana kwenye cydia...

1. Installing Appsync from Cydia
2. Jailbreaking through snowbreeze 2.7.1...



(i) kuongeza Appsync kwenye non-jailbroken Iphone.

kwanza kabisa unatakiwa kufahamu firmware version ya Iphone yako na Boot Room state kama ni new Boot Room au Old Boot Room..fungua settings, general, about...!


View attachment 34013

baada ya hapo, utahitataji kudownload latest firmware ya Iphone yako,,kama unatumia 3G basi firmware 4.2.1, 3GS firmware 4.3.4, iphone 4 firmware 4.3.4...kwa IOS 5 hii njia haitoApply'..ukishaDownload hiyo firmware kitu utakahohitaji ni program ya computer inayoitwa redsn0w win 0.9.6rc16 ni kama 13 Megabites inapatikana Google!!
ukishadownload redsnow, ifungue then fuatilia maelekezo vizuri jinsi program itakavyokuelekeza..nashindwa kuandika step zote hapa kwasababu maneno ni mengi'...

View attachment 34012

redsnow ina maelekezo yote kwenye process nzima ya kuweka Cydia..


(ii) KuJailbreak.

nayo utahitaji kudownload viambatanisho vilivyowekwa hapo chini kwenye maelezo..ukishindwa kitu uliza humu ndani usaidiwe...



JailBreaking IOS 4.3.3


The supported device are

  • iPhone 3GS, iPhone 4
  • iPad 1
  • iPod Touch 3, iPod Touch 4.
  • Apple TV 2G
Step 1: Download the iOS 4.3.3 firmware for your respective iOS device
Step 2: Download Sn0wbreeze 2.7 from here
Update: We recommend you download Snowbreeze 2.7.1, which fixes iPhone silent/mute button issue
Step 3: Now open Snowbreeze 2.7 which you had downloaded earlier and click on the arrow icon.

Step 4: Now click Browse and locate the downloaded IPSW file for the corresponding iOS device and click next.

Step 5: Now you can see a message on the window saying 4.3.3 IPSW verified. If your using an iPhone 3GS, you are promoted with a window which ask you to select older or new baseband. If you don't know which of these two, click on "Detect it for me" to let the software detect your baseband version.

Step 6: After this, you will be asked to select a mode.
iPod Touch user will get this

iPhone user will get this

Now choose "Expert Mode" and select Build IPSW click next. If you rely on an unlock, go to Unlocks settings and make sure that Activate The iPhone [Hacktivate] is selected and then click Build IPSW

Step 7: Now Sn0wbreeze will start building custom IPSW file for your iOS device. It may take some time, so be patient will it finish

Step 8: Sn0wbreeze has successfully created custom IPSW and it is saved on your desktop. Now click "OK".

Step 9: At this point you need to put your iOS device into DFU mode. To do so follow the on screen instructions
  • Turn OFF your iOS device
  • Press and hold Home + Power button for 10 seconds
  • Now release the Power button and hold Home for 30 sec.
Step 10: Now iREB will run to put your iOS device in Recovery mode. Please make sure that your iOS device is kept connected to your PC
Step 11: Open iTunes, click on your iOS device name and press Shift + Restore button on the iTunes.

Step 12: Following the previous step will prompt you a window, now locate the custom firmware build using the Snowbreeze saved on the desktop.

Step 13. Now the iOS device gets restarts and enjoy the jailbreak.







Baada ya kuJailbreak utahitaji kuUnlock ili utumie line za mitandao yote ya simu.


baada ya kuwa na Cydia kwenye menu ya simu yako kama inavyoonyesha hapo --> View attachment 34014,
utafuata hizi steps ili kuUnlock..



1. uwe kwenye wireless internet connection yenye speed ya kutosha na uUnganishe simu yako,
2. weka line ndani ya simu,
3. fuatilizia maelezo ya hapo chini..


Step 1: Open Cydia on your iPhone 4 or 3GS, Go to Manage->Sources





Step 2: Now tap on "Edit", then tap on "Add"
Enter the following repo ultrasn0w.com then tap on "Add Source" as shown below.



Step 3: Now search for ultrasn0w 1.2.3 then install it. By installing ultrasn0w 1.2.3, your device became unlocked


Step 4: Finally, restart your iPhone and you should now enjoy an unlocked iPhone 4 or 3GS on iOS 4.3.3.

Mkuu ubarikiwe! Nashukuru sana kwa kusoma hayo maelezo na kufuata procedure iliyoelezwa hapa juu nimefanikiwa kujailbreak na ku-unlock simu yangu iphone 4 32 GB iliyokuwa imefungwa na at&t japo niliazimika kununua software kutoka jailbreakme.com ya kama $20 hivi ila uanachama wa lifetime.

Nashukuru sana kwa elimu hii kwani Sapna waliniharibia wakashindwa kuirudisha ilivyokuwa na mbaya zaidi wakalamba microSIM yake inabidi nitafute nyingine

Otherwise ipo safi natumia kwa WI-fi hadi nipate line yake tena
 
Mkuu ubarikiwe! Nashukuru sana kwa kusoma hayo maelezo na kufuata procedure iliyoelezwa hapa juu nimefanikiwa kujailbreak na ku-unlock simu yangu iphone 4 32 GB iliyokuwa imefungwa na at&t japo niliazimika kununua software kutoka jailbreakme.com ya kama $20 hivi ila uanachama wa lifetime.

Nashukuru sana kwa elimu hii kwani Sapna waliniharibia wakashindwa kuirudisha ilivyokuwa na mbaya zaidi wakalamba microSIM yake inabidi nitafute nyingine

Otherwise ipo safi natumia kwa WI-fi hadi nipate line yake tena

sawa sawa mkuu'...:A S thumbs_up:
 
Apple leo naona wametoa ios 4.3.4 so tunasubiri jail break nyingine duh tech inakwenda fast sana wakuu!
 
Blackberry 9780/9700 wala hata wasikuangaishe na hizo hapo juu. Battery backup ipo juu (1500mAh) ni ya uhakika sana na wala hautakuwa na haja ya kuzima internet kama wenye iPhone na Android wanavyofanya kuzima internet ili wapate battery ikae kwa muda mrefu.
 
sawa sawa mkuu'...:A S thumbs_up:
Sasa mkuu niliyokua nikiyasema nadhani sasa utakuwa umeamini hauwezi kujailbreak au kuunlock for free of charge bila ya kununua baadhi ya software kutoka jailbreakme na ni vitu vidogo sana vinavyowasha simu ambavyo hizo site za free wameshindwa kuviweka,wazungu ni wajanja sana na wanajua kila wanachokifanya.
 
kwa upande wangu naona iphone is the best kwa kila kitu, swala la jailbreak ni muhimu afu kuhusu kufanya update naona ni chaguo lako mwenyewe, maana sometime update ya ios huwa inaongeza features chache ambazo mara nyingi hatuzitumii kivile na hata kama zinatumika ni asilimia chache sana,alafu pia unaweza pata hizo new feature kwenye cydia km iphone yako ipo jailbreaked, pia features nyingi ambazo hata apple wenyewe hawajaziweka hata pengine kuzifikiria zinapatikana kwa wingi cydia.
kwa hiyo upande wangu iphone is the best, na kinachoifanya iwe best ni operating system yao ipo very god and stable na application nyingi ambazo ni useful zinapatikana kwa urahisi, yani wewe ukitaka app yoyote unayofikiria, kwa asilimia kubwa lazma iphone itakuwanayo, na vilevile hata kama utaona kuna baadhi ya features ulishazoea kuzipata kwenye simu zingine(kwa watumiaji wa nokia symbian wa zamani),hapa kwenye iphone utapata almost kila kitu kinachorandana, ila ni unabidi uwe tayari kukumbana na kashikashi zake km ukiamua kuitumia.
 
Sasa mkuu niliyokua nikiyasema nadhani sasa utakuwa umeamini hauwezi kujailbreak au kuunlock for free of charge bila ya kununua baadhi ya software kutoka jailbreakme na ni vitu vidogo sana vinavyowasha simu ambavyo hizo site za free wameshindwa kuviweka,wazungu ni wajanja sana na wanajua kila wanachokifanya.
hizo 'baadhi ya software' unazomaanisha ni zipi, mbona software hizi redsnow, snowbreeze, greenpoison zinaJailbreak vizuri tu na haziuzwi, kuna link hapo juu kwenye post inakupeleka kudownload snowbreeze moja kwa moja bila kununua au hujaiona!..mkuu ukingangania jailbreakme wakati sources zingine zinaprovide bure utakuwa unapoteza hela bure....:fish:
 
Sasa mkuu niliyokua nikiyasema nadhani sasa utakuwa umeamini hauwezi kujailbreak au kuunlock for free of charge bila ya kununua baadhi ya software kutoka jailbreakme na ni vitu vidogo sana vinavyowasha simu ambavyo hizo site za free wameshindwa kuviweka,wazungu ni wajanja sana na wanajua kila wanachokifanya.

Acha kudanganya watu hapa. Nimechakachua Iphone yangu mwenyewe bure bila kulipa hata senti moja.

Just go to youtube and you will get very good instructions on how to do it and where to get the free software.

You have to appreciate the fact that there is no one way of doing things. Kama wewe unajua njia moja basi wenzako wanajua njia zingine.
 
Wakuu nahisi blackberry ni poa zaidi.

Wengi wa wachangiaji wameipa nyota kubwa Iphone lakini wakaja na ishu ya jailbreaking.

Poleni kwenu kwani kwenye BB hii habari haipo.

Ila kama alivosema mkuu mmoja hapo inategemea wewe katika simu ni mpz na mambo/features gani...

Otherwise michango ni mizuri na ya kuelimisha sana. Big up kwenu wote wachangiaji...
 
Acha kudanganya watu hapa. Nimechakachua Iphone yangu mwenyewe bure bila kulipa hata senti moja.

Just go to youtube and you will get very good instructions on how to do it and where to get the free software.

You have to appreciate the fact that there is no one way of doing things. Kama wewe unajua njia moja basi wenzako wanajua njia zingine.
asante mkuu kwa kumuelimisha jamaa maana najaribu sana kumueleza kwamba sio jailbreakme pekeyake wanaoweza kujailbreak lakini hana nia ya kuelewa..:mod: :mod:
 
Back
Top Bottom