msaada bb curve 8520

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,578
nimenunua bb 8520 used, nashindwa kutumia huduma za bbm na nyinginezo coz kuna password za mtumiaji wa kwanza kabla ya mimi na simfahamu je nifanyeje ili niweze tiririka..naombeni msaada wenu
 
Nadhani ukiingiza wrong password mara 10 inarudisha kwenye factory settings. Jaribu hiyo uone. Kama unataka kuingia kwenye simu ya mwenza wako umenoa, wala usihangaike manake itafuta kila kitu hadi contacts, msg, calls etc.
 
uki wipe inareset password zote, mi nilinunua bb kwa mtu... nikawipe ikafuta kila kitu chake ikawa kama mpya...

sikumbuki jinsi ya ku wipe ila unaweza ku google
 
Back
Top Bottom